Mifuko ya plastiki itatuua. Ipigwe marufuku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mifuko ya plastiki itatuua. Ipigwe marufuku

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DUNIAPANA, Jan 23, 2012.

 1. D

  DUNIAPANA Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  . Wauza matunda , wenye maduka,mabucha na karibu kila biashara mifuko ya plastiki inatumika. Mifuko hii ambayo haiozi inaharibu ardhi na mazingira kwa ujumla. Angalia kwenye mitaro , mifereji na madampo jinsi mifuko ya plastiki inavyotamba.

  Wana jamvi mnasemaje?

   
 2. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hii nayo ni siasa au mazingira? Anzisha kampuni ya ku recycle hiyo mifuko...utasafisha mazingira pamoja na kutajirika.
   
Loading...