Waandishi wa habari wa tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi wa habari wa tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kukumdogo, Jan 23, 2012.

 1. kukumdogo

  kukumdogo JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 700
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 80
  Kiukweli nimekubali maneno ya raisi aliyepita aliposema "waandishi wa habari wa kitanzania uwezo wao mdogo sana kuhojiana na mimi". Hii nimekubali pale tu nilipo gundua kuwa waandishi wa habari wanaweza kupotoshwa kwa hongo paka ya buku tano na kuacha kuandika habari ya uwakika. Magazeti mengi yamejaa habari za majungu na umbea tu hakuna habari hatamoja ya kuelimisha jamii na uchunguzi wa kina.
   
 2. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  kibonde huyooo!!!
   
 3. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  lazima iwe ivyo kwani waandishi wa kibongo wamekaa kisanii saniii , wanachojua wao kumuhoji DIAMOND na kina sugu!!!!

  wale wazuri hakuna maslai hapa wanakimbilia idhaa za kimataifa,, kina MAJURA!!
   
Loading...