congo fever imezuka tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

congo fever imezuka tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crucifix, Jan 22, 2012.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ugonjwa huu umezuka tena na huko Bangladesh kijana wa miaka 29 amukufa jana na mwanamama mmoja amefariki huko Oman. Ulaya wameanza kupiga marufuku uagizaji nyama kutoka Afrika na Asia. Nimesikia serikali ya Tanzania pia imetahadharisha watu kula nyama. Jamani chukueni tahadhari na fuatilieni zaidi habari hii kwa usalama wenu na wale muwapendao.
   
Loading...