Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kulingana na utabiri wa hali ya hewa uliorushwa na TBC1 jana usiku mjini wa Moshi leo utakuwa na joto kali kuliko yote afrika. Mjini unaofanana na Moshi utakuwa na Niamey,Niger. Jamani sijui...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
HATIMAYE Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, ameamua kuzungumzia ugonjwa unaomsumbua kwa muda mrefu sasa. Akizungumza na Tanzania Daima jana kwa njia ya simu, Dk. Mwakyembe alisema...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ujumbe wa hao hatu sasa wako Starlight kuwasikiliza madaktari kero zao!! **** -Wao si waliombwa wawatatulie hizo kero mwanzoni wakawakwepa? -Katika maazimio ya Madaktari, mojawapo ni wao waachie...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
tunalipia jengo kwa mwezi shs mil3,sasa mzee wa kanisa ametangaza tutowe sadaka kubwa ili waweze kulipia jengo kila mwezi,tuna kiwanja lakini ujenzi bado,je kwenda kusali kwenye uwanja wetu na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Pengine gazeti la leo limetoa tu karobo kamchezo kanaonyika pale airport ni kweli nimesoma nipashe kuna michezo michafu ambayo inahusishwa na wkubwa wa uhamiaji ambao huleta vibali feki na watu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana majira ya saa 3 Asubuhi wananchi wa Kata ya Goba, Makuburi na Ubungo ambao ni wapiga kura wa MNYIKA walivamia Manispaa ya Kinondoni wakitaka kuonana na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Ndg. F...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilijua Wachina tu ndio wanawachakachua dada zetu wa Kitanzania kumbe haya mambo hata Ulaya yapo. Ex-head of French breast implant maker arrested - Yahoo!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mi ni mwajiriwa wa halmashauli nahitaji kuingiza gari hivo naomba kujua namna ya kupata punguzo la kodi TRA kwa watumishi wa selikari
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamii. Natoka kilosa mjini kwenda Dumila. Tumefika katikati eneo la Msowero. Magari yamezuiwa na wakulima kupita tangu asubuhi. FFU wapo tayari eneo la tukio. Anasuburiwa Mkuu wa wilaya atoe...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
hapo sivuti picha nani atakuwa mwoga kwa mwenzake
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Niliondoka Singida Mjini saa kumi na moja alfajiri kuelekea Dodoma. Kilomita 40 kutoka Manyoni nilikutana na hali hiyo pichani kunako saa kumi na mbili na nusu. Eneo la tukio...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau pamoja na kuwa kunasehemu za kwenda kupata taarifa na gharama za kutembelea Mikumi national park lakini naomba kupitia jukwaa hili mwenye experience ya huko naomba animegee data kidogo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
TUMEAMUA KUWA WAJINGA? UJINGA UNA FAIDA, UJINGA RAHA, UJINGA NI MAISHA MAREFU, TAZAMA NDOA ZINADUMU KWA SABABU MMOJA KAKUBALI KUWA MJINGA, TANZANIA INA AMANI KWA SABABU YA UJINGA WA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
source ni BBC ! watu waanza kupoteza maisha mwananchi mmoja anayeitwa bi sikuzani mponda mkazi wa kibaha asikika radioni akiongea kwa uchungu.ahoji "kama serikali inaweza kuwasikiliza wabunge...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Hi wana JF,Nabisha hodi, nimeingia JF.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hivi ndugu yangu mtanzania!unajisikiaje unapoona na kusikia watanzania wenzako wa hali ya chini wakiendelea kufa hospitalini bila hatia,huku serikali ikizidi kuonesha ubabe kwa madaktari,kitendo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ningependa nijuwe kama wapo,na ningefurahi sana kama ungejibu swali langu,je mnajisikiaje kuendesha TBC ambayo ni mali ya watanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa au dini kwa upendeleo???Je...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Inasikitisha sana pale napopita kila kona ya mtaa na kukuta vijana hutumia lugha ya matus kuwasiliana! Kwa jamii ya leo maneno kama mse**e na ku** ma** na kawaida sana sasa je nayenyewe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hapa ndo kazi zitafanyika vizuri na kwa wale wa dsm na foleni hizi wa2 tutakuwa tunarudi majumbani saa3 ili kukwepa foleni
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Lizemwalo lipo kama halipo laja, leo ni siku ya pili mji wa kigamboni upo gizani, maji yawashida, msemaji hamna, Tanzania tutafika?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…