Moshi yaongoza kwa joto kali Afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moshi yaongoza kwa joto kali Afrika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kalunguine, Jan 27, 2012.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kulingana na utabiri wa hali ya hewa uliorushwa na TBC1 jana usiku mjini wa Moshi leo utakuwa na joto kali kuliko yote afrika.
  Mjini unaofanana na Moshi utakuwa na Niamey,Niger.
  Jamani sijui barafu ya mlima kilimanjaro itapona.
  Souce:TBC1
   
 2. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa mkuu,hali ya hewa ya Mshi imebadilika vibaya sana.
   
 3. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,759
  Trophy Points: 280
  Khaaaa sa na mie ntaenda kutotoa huko si ntakufa uuuuuwiiii
   
 4. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  R.I.P mountain KILI
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hahahaaaaa! Teh teh teh, sipati picha
   
 6. f

  filonos JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Rabda ndio Summer time yahuko kwani hata europe hua joto kali kupita Africa wakati wa Summer hayo ndio mambo ya Tabia nnchi yalivyo
   
 7. P

  Popompo JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Huku kwetu Arusha joto limefikia 34 centigrade usiku nimelala uchi wa mnyama!
   
 9. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hiyo ni kwa Moshi mjini tu, lakini pembezoni ni shwari.
  Lakini mimi naona joto la mererani limezidi hata la Moshi.
   
 10. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna waliosema kwamba climate ya sehemu huwa-determined kwa muda wa 30yrs but mimi nakataa,climate haiwezi kuwa constant,it is ever changing.
   
 11. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  altitude ya mlima kilimanjaro haiwezi kuathiriwa na joto hilo tusiwe na hofu
   
 12. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Amkani hali si shwari_yaani hata mnaoishi kwenye nyumba za tembe,.....pole sana mkuu
   
 13. Catagena

  Catagena Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni variability tu, wala isikutishe mkuu. Kuhusu pale juu (kileleni) Kilmanjaro, temperature haijawahi kuwa above 0 degrees of Celsius....So, there is nothing like global warming affecting the of mount Kilimanjaro. In fact, there are investigative studies going on there, so let's wait for the outcomes of such studies so that we can fairly conclude......(No research, no right to speak).
   
 14. M

  Makupa JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  nyumba za tembe haziathiriwi na joto
   
 15. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Uharibifu wa mazingira umezidi
   
 16. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kama inachange hiyo ni weather
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  inawezekana kutokana na mada yako joto la juu zaidi likawa 25c
   
 18. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,759
  Trophy Points: 280
   
 19. Luzilo

  Luzilo Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Subili June mumy loo!!!
   
 20. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Moshi kuna watu walipanda miti mingi, ni jambo jema. Lakini hawakuzingatia ni miti ya aina gani inahitajika, kwa mfano maeneo mengi kulipandwa miti ya kizungu amabayo uoto wake wa asili halingani na mazingira ya kilimanjaro.....hivyo basi inawezekana kabisa ikawa inachangia mno kubadilisha hali ya hewa ya moshi tofauti na zamani tulipokuwa tuna vaa makoti muda wote wa miezi 12!.
   
Loading...