Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu nimejaribu kuyaweka mapungufu ya utawala huu kwenye makundi (classes)ili kuweza kupata definition nzuri ya serikali ya TZ.Ukiangalia kwa makini mafungu haya inapoangukia serikali hii...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu kuna habari kwamba viongozi wa madaktari katika hospitali za Dodoma na Ifakara wameitwa kwa OCD.bado wapo kwenye mahojiano.kama serikali ina madaktari wa jeshi kwa nini serikali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanabodi naanza na angalizo!. Kama wewe hujui chochote kuhusu " will power" na "faith healing" nakushauri jisomee tuu na usichangie kitu ili nawe sasa uelimike!. Mgomo huu wa madakitari...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Unaweza hisi hii nchi ni zaidi ya jehanum jamani basi tu tunapata kauwezo cha kununua ugali na mkate jamani mkurugenzi wa wa tbs amekoswa koswa kuchapwa ngumi na mbunge mmoja kwenye kamati ya...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
watu wengi wanasiasa,raia wa kawaida wamekuwa wakipokea simu au message za vitusho kutoka kwa number zisizo julikana tumesajili number lakini haisaidii. Hata kipindi cha uchaguzi zulitumika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu wapendwa je madaktari wa KCMC wamepoma siku ya leo mana hizi hospitali km ya kiboriloni madaktari na manesi wamegoma ukifika wanakwambia hakuna karatasi,hakuna umeme nk. Hali ikoje...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kutokana na kichwa ngumu iliyoneshwa na Madaktari wengi waliogoma sehemu mbalimbali nchini, Historia inatarajia kujirudia soon, madaktari wote walioendelea na mgomo na kukaidi AMRI pamoja na wale...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
madaktari wameungana,much more to come
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nikiwa mtanzania mwenye uchungu na adha waipatayo walalahoi katika hospitali za serikali, chonde chonde uongozi wa CHADEMA uwaangukie madaktari kokote walipo na wawaombe warudishe majeshi, kwani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Moja ya jambo ambalo madaktari hawa wamelifanya na nimeliona ni zuri na la kisomi zaidi ni kumtaalifu mtoto wa mkulima kuwa hawatakuja ukumbini kwenye mazunguzo kisha hawakuishia hapo wakatoa na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilijaribu kutoa changamoto ya cost ya mgomo ni katuma kwenye jamii intelligence, naona edita atakua DAVOS... basi ngoja tuanze na simpo question in our system where evreyone abuses it, kutokana...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Madhara ya rushwa ni makubwa zaidi pale yule anayeidai anapochelewesha huduma au kuifanya kwa kiwango cha chini ili tu kusababisha apewe rushwa. Taratibu sheria na kanuni ndio sumu ya kummaliza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mgomo baridi unaoendelea wa walimu impact zake kila mmoja ameziona kwenye elimu ya Tanzania kwa sasa baada ya serikali kutumia mabavu. Swali langu kama madaktari wataamua kurudi kazini na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Balozi wa amani(Nd. Risasi Mwaulanga) kushirikiana na zitto kabwe wanatarajia kufanya matembezi kutoka dar mpaka moro kwa miguu,lengo ni kuhamasisha vijana wajikite kwenye kilimo,anasema tanzania...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Basi la kampuni ya New Force lenye namba za usajili T666 BCR lililokuwa likisafiri kutoka jijini Dar es Salaam Kwenda Mkoani Mbeya limepata ajali na kuua watano papo hapo. Akizungumza na mtandao...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Hawa TBC1 siwaamini kwani wamekuwa wanachakachua habari kwa kuondoa vipande wanavyoona vinaleta sura tofauti na matakwa ya serikali.Mfanno jana wameonyesha Dr.Mwakyembe na Sita wakitoa hotuba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Juzi nililazimika kumsidikiza rafiki yangu ambae alimpeleka mtoto wake wa miaka minne ambae alimeza pini ya kubania karatasi.Katika hospitari ya rufaa ya mkoa wa Dodoma hakupata huduma kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeshangaa sana baada ya kuona tawi la ccm maeneo ya imalaseko kwa mashoeshiners ambalo lipo ndani ya barabara, nikashangaa sana kujiuliza hivi nape hajui sheria au sheria haitambulikani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa kweli its about time now we need arab spring, Kama walivyoainisha waliochangia mkutano kule davos nafikiri ni kweli kabisa sasa tanzaniania tunaitaji maandamano kama ya arabuni ya kumtoa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamvi, nimepita hapa Nyantare Social Hall Tabata bima, magamba wamesheni, sikuelewa mara moja mkutano unahusu nini! Kuna mwenye kujua ni nini kusudi la mkutano huu? Hi itatusaidia wapambanaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…