Madaktari andikianeni wote kwamba mnaumwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari andikianeni wote kwamba mnaumwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TIMING, Jan 30, 2012.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nilijaribu kutoa changamoto ya cost ya mgomo ni katuma kwenye jamii intelligence, naona edita atakua DAVOS... basi ngoja tuanze na simpo question

  in our system where evreyone abuses it, kutokana na nafasi aliyopo.... "Hivi ikatokea Drs. wote wakaandikiana kwamba ni wagonjwa na hakuna sheria itakayotengua signature ya Dr. na ghafla majority of Drs. wakawa hoi vitandani... WATAKUA WAMEGOMA?"

  Na wakifuata sheria kwamba hakuna mazingira yanayozuia madaktari kuugua itakuaje, na hakuna sheria inayozuia watu kuugua kwa wakati mmoja... ITAKUAJE?
   
 2. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mm naona issue ya madaktar wameshindwa ku solve cause hawataki kuwasikiliza hasa mheshimiwa pinda anavyowapiga kwara anataka leo waanze kaz yeyote asiyeingia atakuwa sio mtumishi wa umma y anatakiwa a solve matatizo na kuyafanyia kaz malalamiko yao
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  hhahahahahhaahhah MTM hapo itamlazimu Mh.Pinda, Mama Nyoni wavae stethoscope na kuwapima madaktari wote walioandikiwa wanaumwa kuthibitisha. Mbona serikali itahamia mahospitalini?!!
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Aiseeee!
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  kazi ipo mwaka huu
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mmmmmhhhhh!..
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kuna wakati naona kabisa kuwa Viongozi wetu waliopo madarakani hawajali kabisa maisha ya wananchi wao,badala ya kusolve tatizo wanatumia mabavu,hivi hata hao madaktari wakirudi kazini na kufanya kazi vibaya nani atawalaumu?Badala ya kusikia wagonjwa wanapona tusubiri kusikia vifo vingi kuliko ambavyo wengi wetu tunatarajia.
   
 8. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,112
  Trophy Points: 280
  Hii ni hatari na nusu na nusu ni hatari kamili.
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Lazima mwaka huu m.kwere afanye utaratibu wa .......manufacturing of doctors...........kudadeki!!!
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Bigirita....................yeah afanye manufacturing of dortors aiseee
   
 11. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  It's time now to import chinese doctors (disposable doctors)
   
 12. MANI

  MANI Platinum Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,408
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  If we are manufacturing teachers why not doctors ?
   
 13. Mromboo

  Mromboo JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 721
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 45
  tatizo viongozi wetu hawajui thamani ya proffesional instead kila kitu wanadhani it can be driven politically. pinda anataka kutumia siasa kwenye utaalam wa watu. mi nawashauri waende ofisini then wapige story bila kutoa huduma tuone kama watatumia mabomu ya machozi.
   
 14. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Wakifanya hilo watakuwa wamejidhalilisha!!

  Huu mgomo umenikumbusha ndugu zangu wa Mara (especially Wakurya), kila mwanamume na mwanamke wa kweli lazima aonje kisu....

  Madaktari wetu wako tayari kwa kisu?
   
 15. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwahiyo watakuwa wameogopa kugoma?,wajifanye wanaumwa!!,ya nini sas?wakomae tu na mgomo wao si walijifanya vidume

   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  amesema wanajitahidi ku-manufacture walimu!! NIlimsikia kwenye ile clip ya davos....
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  na bado ni vidume... zunguka mahospitalini ujue, huwezi kulazimisha ng'ombe kunywa maji, utafika mtoni na utarudi na hanywi

  Mkeo akikwambia anaumwa tumbo na haumwi si kakugomea??? unless you are not man enough to know there are a thousand ways to skin a cat!!!


  kinachofanywa na serikali kwa sasa ni sawa na mtu aliye uchi halafu anafunika macho asionekane!!
   
 18. T

  Truenorth Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Chief MTM couldn't agree with you more aisee ....
   
Loading...