Mgomo hosp. Ya rufaa ya K.C.M.C

Mkumbavana

Member
Jan 24, 2012
79
22
Ndugu zangu wapendwa je madaktari wa KCMC wamepoma siku ya leo mana hizi hospitali km ya kiboriloni madaktari na manesi wamegoma ukifika wanakwambia hakuna karatasi,hakuna umeme nk. Hali ikoje MAWENZI NA KCMC?
 
Mawenzi hakuna theatre hata minor cut wounds hawashoni wapo
 
Ndugu zangu wapendwa je madaktari wa KCMC wamepoma siku ya leo mana hizi hospitali km ya kiboriloni madaktari na manesi wamegoma ukifika wanakwambia hakuna karatasi,hakuna umeme nk. Hali ikoje MAWENZI NA KCMC?

Mawenzi hakuna theatre hata minor cut wounds hawashoni wapo tu wanazunguka dawa hakuna kila inayoandikwa lazima ukanunue, round hawapiti, kifupi walishagoma siku
Nyingi kimya kimya. Wanadai call allowance zaidi ya
Miaka 10 hawajalipwa. Wapo Kama hawapo
 
Back
Top Bottom