Nafasi mpya za kazi kutangazwa kesho andaeni vyeti vyenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi mpya za kazi kutangazwa kesho andaeni vyeti vyenu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by moshingi, Jan 30, 2012.

 1. m

  moshingi JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokana na kichwa ngumu iliyoneshwa na Madaktari wengi waliogoma sehemu mbalimbali nchini,
  Historia inatarajia kujirudia soon, madaktari wote walioendelea na mgomo na kukaidi AMRI pamoja na wale waliofika kazini lakini hawakufanya kazi(mgomo baridi) watakuwa wamefukuzwa kazi kwa hiyari yao wenyewe, hivyo wale wote wenye sifa wanakaribishwa
  walete maombi yao kwa Bi Nyoni, kazi nje nje...Tunatarajia misururu mirefu ya waombaji kazi za udaktari kama kipindi kile...Mama
  Meghji alipokuwa Waziri wa Afya...hata wale waliofukuzwa wataruhusiwa kuomba upya ajira...Tutarajie haya kutoea punde....!!
   
 2. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Kweli kweli Kuna Daktari hana kazi hapa Tanzania? au wanataka kuwaita wazee waliokufa akina Dr Uledi, Mpanda, Chiduo etc? au ni madaktari waliostaafu ambao mchakamchaka wa kazi za Muhimbili hawauwezi kabisa na hata wakichukua ndugu zetu madaktari waliopo wizarani pale ndio kabisaa hao wamezoea safari na posho kisu walishasahau zama za kale
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Pinda , jana alikua anajinasibu eti watatumia madaktari wa Jeshi, hahaaaah so funny, wako wangapi, wenye sifa zipi, lol !
  Muimbili inahitaji madktari mia tatu kuweza kuendana na speed ya wagonjwa pale, sasa wale Madaktari wa Lugalo wako wangapi, hata wakiwaleta wale wa Kijitonyama, wako wangapi, mbona kama kuna Ombwe la fikra !
   
 4. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Uongozi ni issue tz, hatuna viongozi wenye upeo
   
Loading...