Habari wakuu. Natambua watanzania wengi wanaumia kutokana na kukosa huduma za afya kufuatia mgomo wa madaktari. Tunahitaji kujikumbusha, na ninaomba msaada wenu kwa faida ya walalahoi...
naomba uongozi wa nbc ufikishiwe ujumbe huu kuwa wametumia miguu kufikiri,WANAAMUA KUFUNGA A.C YANGU KWA KISINGIZIO CHA KUUPDATE INFORMATION WAKATI WANAWEZA KUNIJULISHA KWA SIMU,POSTA ,MAIL...
Waziri mkuu kasema Rais kashaweka tiki mshiko wa Wabunge, Ikulu wanasema NOOO haijawa bado, Bibi Kiroboto na yeye Aongea..
Mganga mmoja amewachanganya vipimo hawaelewani mada.
hahahahahha...
kuna tetesi kwamba wafanyakazi katika machimbo ya dhaabu ya nyamongo uende wakaanza mgomo wakidai nyongeza ya malipo kadhalika kuishinikiza serikali kuwalinda dhidi ya unyanyasaji na unyama dhidi...
Sifa kuu za kuwa dokta
i)Uvumilivu
2)Upendo
3)Huruma
4)udugu
Kwa bahati nzuri licha ya Migogoro na hali ya chumi wa madakatari waliokuwepo Zanzibar sio nzuri, lkn hawajafikia kufanya vituko...
Kuanzia wiki iliyopita, watu wengi wamejikuta wamepigwa na butwa kwenye atm, ukiingiza atm card, atm machine inakujibu change status, na wengi wao ni wale wanaotumia card mpya (nbc master card)...
Watanzania wengi wapo gizani, hawaelewi mambo yote yanayoendelea.
Watanzania wengi hawaelewi kwa sababu hawana muda wa kufikiri, kujadili na kupata habari za ufedhuli wa Xicmm.
Wananchi wapo na...
Rais J.K ametoa ahadi ya kugharamia ujenzi wa mahakama ya Haki za Biadamu Afrika Mashariki (ACHPR). Rais amesema kuwa Mahakama hii inabidi iwe na hali bora na majengo mazuri kwani itafanya kazi...
wakati mgomo wa madaktari na wauguzi ukiendelea,waziri wa afya ametembelea hospitali ya taifa muhimbili.mara baada ya kufika baadhi ya wagonjwa walipelekwa kwenye mabenchi na kuanza kupigwa...
Hapa JF na kwingineko kuna watu wanaamini kwamba JK nchi imemshinda. Tuambiane basi kama leo JK akiamua kubwaga manyanga tunataka nani achukue kijiti kutoka kwa JK. Na tunataka huyo mtu...
Nalazimika kuweka jamvini hapa kwenye fikra zenye utafiti na kwa imani pia kuwa ntawapata wahusika kujibu hoja yangu kama akina KIBANDA,NGURUMO kuhusu hii harufu inayoelekea kwenye gazeti TANZANIA...
1.Hakuna mkakati wa dharura wa kuondoa tatizo siku za karibuni
2.Serikali haijatambua Athari kubwa zinazosababishwa na Mgao
3.Miez SITA ya mgao yaweza kuharibu uchumi wa miaka KUMI...
Wana JF,
Hawa jukwaa la wahariri wana maana gani wanapotoa waraka na kusema wanatambua ufinyu wa rasilimali za nchi wakati ongezeko la posho kwa wabunge zimesainiwa? Mbona hawakutoa waraka...
Wadau naomba kujua jambo hili ambalo linaitesa akili yangu pamoja watanzania wenzagu. Hapa kwetu Tanzania tuna Raisi, makamu raisi na waziri mkuu.
Wanasema waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa...
Kama mmesahau zile saa 48 mlizotoa na PM wenu zimeisha, Jumatatu hatujatia timu kazini kama mlivyoagiza, leo ni Jumanne, propaganda zote kupitia vyombo vya habari zimeshindwa na zitaendelea...
Zipo taarifa nyingi kiasi cha kutukanganya wananchi tunaoumia kutokana na mgomo wa madaktari!!! Ziko habari kwamba baadhi ya madaktari wanaendelea na mgomo wakati zipo habari kwamba wengine...