Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hakika muda ukifika hakuna kurudi nyuma, wadau wana wataifa wapenda maendeleo, wapendahaki, wanaharakati, wanaJF, WANAFACEBOOK, WANACCM, WANACHADEMA, WANANCCR, WANACUF, wanamapinduzi wake kwa...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Wadau nusu saa iliyopita hapa tunduru gari ya polisi ambayo ilikuwa ikiendeshwa kwa kasi ya ajabu imepinduka na kuua askari mmoja wa kike anaetambulika kwa jina la mere{marry}kutoka ktk idara ya...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
MI binafsi sioni umuhimu bunge zaidi ya kutafuna fedha za walipa kodi,sijaona mbunge ayewakilisha maoni(shida}ya wananchi.wengi wao maslai yao kwanza,pili chama chake,mwishon ndo wananchi,nakubali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukiangalia hali ya maisha ya mtanzania wa kawaida kwa kweli ni mabaya sana na yanatisha. Yanatisha zaidi unaposikia kwamba kunawengine wanajiongezea kama posho za waheshimiwa wabunge. Inawapasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi jamani nakumbuka bunge lilibadilika kabisa those days gafla watu wakapewa uongozi na wengine kutokomea kabisa huku wakipewa dozi za kumomonyoka ngozi kuna huyumama yuko wapi sikuhizi aka eng...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimeshangaa sana huyu Katibu Mkuu wa Chama Kigumu akiwaita waandishi eti kutoa tamko la UVCCM kuhusu mgomo wa madaktari wakati chama chake kimeshatoa tamko.......... Tena anaongea kwa body...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
yani inasikitisha utakuta jitu limemaliza mihula yote miwili ya uongozi wa nchi lkn alijawafanyia kitu chochote wananchi hafu bado ling'ang'aniza mahakama iunde sheria ya kulifanya eti ligombee...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Pamoja na kujulikana kwake,jina la Harrison Mwakyembe lilipata umaarufu zaidi mwanzoni mwa mwaka 2008 aliposoma taarifa ya kamati ya bunge iliyochunguza mchakato wa zabuni ya kufua umeme wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesikiliza vyombo vya habari vya kimataifa kama BBC na Deustch Velle,jamani hali ta Hospitali ya Taifa ni mbaya!Baadhi ya wagonjwa waliohojiwa wameelezea hali katika wodi hospitalini hapo ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa kipindi kirefu sana wananchi wamekua wakilalamikia safari za Rais Kikwete kwenda nchi za nje kwamba ni upotevu wa fedha za walipa kodi. Kwa upande wa pili Serikali imekuwa ikiiwaambia wananchi...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Niko huku kwa siku kadhaa kwa ajili ya AFCON (wakati mwingine Gabon) Tukiacha yoote mengine, kuna kitu nimekinote cha tofauti, kama sisi, wao wana bara na visiwani (Rio Muni na Bioko) ingawa sijui...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo nilikua Muhimbili kwa kweli watanzania wenzangu hali ni mbaya mno,mefikia mpaka hata wagonjwa wenyewe wamekata tamaha kwenda kutibia kwenye hospital hii kuu ya tanzania,wodi zote zipo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, napenda kushiriki nanyi ili kujua namna ambavyo TANESCO wanavyofanya kazi. Kwa mtizamo wangu, naona kama vile hili shirika halina uzalendo na wala moyo wa kuwezesha maendeleo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Marina njelekela akiri ma dk wa jeshini awana uwezo wa kutibu idadi ya wagonjwa waliopo wamepanga list ya watu 5 ma dk bingwa wakijiandaa kwenda kwa waziri mkuu katika hilo kundi kichekesho...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana Jf wenzangu. Mwenzenu nimeamua kufunguka baada ya kuona maji yananifika shingoni. Kila mtu anajua umuhimu wa mawasiliano hasa ya simu katika dunia yetu ya leo. Leo kero yangu...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wabunge wanataka posho za laki mbili kwa sasa wanalipwa elfu sabini, Madaktari wanalipwa posho elfu kumi, walimu wao wapowapo tu hawalipwi wanalipwa! Nao wanatakiwa labda walipwe kiasi gani?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kumekuwa na lawama nyingi ka madktari na hata walimu tunasema kazi zao ni wito nk nk, je wana siasa au kuwa kiongozi si shughuli ya wito, na je hawa li kiapo wa kutenda haki?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi huyu mzee hanaga kwao kutwa kukaa hapa mjini nakufanya ufisadi na kuendeleza siasa za ujamaa wakati ni mnyonyaji. Kawaida wazee wakisha staafu wanaenda vijijini kwao kupumzika na wanaachana...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
01 FEBRUARY 2012 Na Andrew Ignas. MBUNGE wa jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)Bw.Faustine Ndugulile ametishia kusitisha mradi wa Kigamboni kama serikali itashindwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hakika umeme umeshakuwa kuwa janga kubwa kama la mafuriko,tena janga la makusudi na uzembe.Nchi isiokuwa na huruma. Leo tareh 1,ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 1. Wa 10000 unit 19.7. Sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…