Serikali; Watanzania wanateketea fanyeni hima madaktari warudi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali; Watanzania wanateketea fanyeni hima madaktari warudi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by 1800, Feb 1, 2012.

 1. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Leo nilikua Muhimbili kwa kweli watanzania wenzangu hali ni mbaya mno,mefikia mpaka hata wagonjwa wenyewe wamekata tamaha kwenda kutibia kwenye hospital hii kuu ya tanzania,wodi zote zipo wazi,dawa hakuna,wauguzi kwa maana ya madokta hakuna mnategemea nini nyie viongozi wa serikalai??viongozi wakuu wa serikali lazima wajue watanzania wanateketea kwa wao kutunishiana misuri na madaktari,tunajua wao na familia zao wanazo sehemu za kujitibia zaidi ya hospital za hapa nchini,ila kwa kweli watanzania wengine tunaumia na tunateketea mnataka tufanye nini mtuelewe?kuvimbiana na madokta wakati sisi tunazidi kufa mnawaongoza watu gani???
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  so sad. . . .
   
 3. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Watu wanakufa mkuu kwa uzembe kabis na kwa kukosa tiba tiba maana hata madawa hakuna,wao wanaleta porojo na siasa na maisha ya watu....ili jambo lilitakiwa lijadiliwe kidharura na bunge badala yake spika akadai serikali itakuja na majibu....mpaka lini?au kwa kua wao na familia zao si waathirika wa moja kwa moja......Tanzania inaskitisha sana
   
 4. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Serikali ya CCM ni kiziwi,

  ,Serikali ya CCM jamani sisi WTZ masikini India yetu ndo Muhimbili,wapeni wanachowadai mbona ninyi wenyewe ndo

  mliwaahidi kipindi cha kampeni zenu
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wabunge kimya,serikali kimya,wananchi kimya!
   
 6. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Wananchi hawajafunguka macho na masikio na kuamua kudai madaktari wao warudi, serikali imekaa kimya, wananchi je?
   
Loading...