Equatorial Guinee wameweza... Sisi tulishindwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Equatorial Guinee wameweza... Sisi tulishindwaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mphamvu, Feb 1, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Niko huku kwa siku kadhaa kwa ajili ya AFCON (wakati mwingine Gabon)
  Tukiacha yoote mengine, kuna kitu nimekinote cha tofauti, kama sisi, wao wana bara na visiwani (Rio Muni na Bioko) ingawa sijui kama nako kuna muungano kama huku kwetu.
  Nilichoona ni kuwa wenzetu mji wao mkuu, Malabo uko kisiwani Bioko, ambako kijoografia ni padogo kuliko Rio Muni.
  I wonder kwanini wakati serikali yetu inahamisha makao makuu back in time isingehamishia Unguja badala ya Dodoma?

  Gonga: Map of Equatorial Guinea - Equatorial Guinea Map and Information, Africa Maps - World Atlas.com
   
 2. u

  utantambua JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hoja ni nini hapa?
   
 3. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  unawatafuta WAZENJ wewe shauri yako, hatimaye watasema Tanganyika imeamua kutumeza rasmi mara watakapoona serikali inaporomosha majengo ya kufa mtu huko Zenj. watalalamika hao
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Hoja ni kuwa makao makuu ya serikali ya muungano yangeweza kupelekwa Unguja na kisiharibike kitu,
  tena tukaondoa hii dhana ya Wazanzibar kuwa Serikali ya JMT ni kwa ajili ya watu wa bara.
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Sasa hayo majengo si yangekuwa ya serikali yao?
   
 6. mtu kitu

  mtu kitu JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Republica de Guinea Ecuatorial sio jamhuri ya muungano ........wala haina mfumo wa majimbo ama sirikisho,huo mji mkuu ulijengwa na wahispania enzi za ukoloni na unatumika mpaka leo.
  nisalimie Teodoro Obiang Nguema.
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  kumbe?
  Kwa hiyo wale ni kitu kimoja tangu pale.
  Nimesikia jina lingine la kisiwa cha Bioko ni Fernando Po.
  Wenyeji wangu wameniambia huyo mtoto wa Nguema ni fisadi ile mbaya, pia ni waziri kwenye serikali ya babake.
   
Loading...