Masikini Dr.Mwakyembe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masikini Dr.Mwakyembe.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shansila, Feb 2, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. S

  Shansila Senior Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na kujulikana kwake,jina la Harrison Mwakyembe lilipata umaarufu zaidi mwanzoni mwa mwaka 2008 aliposoma taarifa ya kamati ya bunge iliyochunguza mchakato wa zabuni ya kufua umeme wa dharura kwa kampuni ya Richmond iliyopelekea kuvunjwa kwa baraza la mawaziri na kujuzulu kwa waziri mkuu wa wakati huo.Wengi,nikiwemo mimi tulimshangilia sana,lakini mwishowe mimi nilimhurumia.Nikiwa bado namhurumia,nikabadili mood,nikaanza tena kumshangilia kwani kujiamini kwake kulinipa matumaini kuwa ameshikilia tawi lenye nguvu.Sielewi alijiamini vipi na kwa nini sasa amenasa kwenye urimbo ambao mimi nilihisi kabisa kuwa atanasa?Sasa ukumwona,utamhurumia kama c kumsahau kabisa.Kalazimishwa kuvaa mavazi ya kizee na kutembelea mkongojo!Na nani?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...