Martin Shigelaa anauza Nyago??

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,145
13,216
Nimeshangaa sana huyu Katibu Mkuu wa Chama Kigumu akiwaita waandishi eti kutoa tamko la UVCCM kuhusu mgomo wa madaktari wakati chama chake kimeshatoa tamko..........

Tena anaongea kwa body language kwa staili ya JK......................nahisi akiwa maeneo ya vijijini (veeery remote) huwa anajiita RIDH1 kabisa!!!
 
Back
Top Bottom