Umeme sasa ni janga kubwa kwaTz

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,537
1,752
Hakika umeme umeshakuwa kuwa janga kubwa kama la mafuriko,tena janga la makusudi na uzembe.Nchi isiokuwa na huruma.

Leo tareh 1,ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 1.
Wa 10000 unit 19.7.
Sasa jiangalie wewe mwenyewe kwanza,alafu uje kwenye nyumba za kupanga.
tumekwisha.

OLE WAKO WEWE ULITOKA NYUMBANI SIKU YA UCHAGUZI UKAENDA KUPIGIA CHAMA CHA RANGI YA KIJANI,HAKIKA SAHIVI UTAONA NYEKUNDU ILIOKOLEA(DAMU YA MZEE)!!
Na bado wanajipanga kupiga misumari zaidi!!
 
Best we acha tu!

Serikali ya mafisadi wameamua kutumaliza kabisaaaaaaaaaaa!!
 
Mkiongea haya mnaniliza wadau make nusu saa imepita sasa umeme umebebwa na wahujumu uchumi akina Mgeleja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom