MNH hali tete,vyombo vya habari vinapotosha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MNH hali tete,vyombo vya habari vinapotosha!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shansila, Feb 1, 2012.

 1. S

  Shansila Senior Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesikiliza vyombo vya habari vya kimataifa kama BBC na Deustch Velle,jamani hali ta Hospitali ya Taifa ni mbaya!Baadhi ya wagonjwa waliohojiwa wameelezea hali katika wodi hospitalini hapo ni mbaya kwani kuna wagonjwa waliofanyiwa upasuaji kabla ya mgomo hawaonwi na waganga.

  Huku wengine wakipoteza uhai. Cha ajabu ni kwamba, ukiangalia taarifa za habari katika vyombo vyetu vya ndani ya nchi utasikia 'hali ni nzuri, huduma zinaendelea kutolewa kama kawaida'!

  Na baadhi yao vimewanukuu baadhi ya wagonjwa wakithibitisha hilo. Tumwamini nani?
   
 2. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Vyombo vya habari vya Tanzania ni Uchwara mtupu kushughulikia habari za kijinga tu hbr zote zenye ukweli na kulihusu Taifa wanazitupa ........................
  Tanzania nani ameturoga?
   
 3. H

  Haika JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Nakumbuka kipindi hakuna mgomo, hospitali ya muhimbili ilikuwa haina madaktari wa kutosha, vitanda vya kutosha manesi wa zamu wa kutosha, vifaa vya kupimia kama pressure, nk wodini.
  Baada ya operation ya mgonjwa wangu Dr wake alikuja kumuangalia mara moja baada ya siku mbili, pia eti akiwa hayupo zamu, walio zamu huendeleza tu dawa bila kujali hali ya mgonjwa, walisema tungoje daktari wetu, tukimpigia simu akija, ugomvi na manesi unaanza.
  Hospitali ya muhimbili inahitaji
  - wafanyakazi wa kutosha wa kada zote wenye motisha
  - vifaa vya kutosha
  sasa hivi hakuna tufanyeje?
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Bahasha za kazi
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  propaganda sio utatuzi wa mgomo.
   
 6. S

  Shansila Senior Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Propaganda huwapo wakati wa vita!Sasa naanza kumwamini mwandishi wa Mwanahalisi toleo fulani alipoandika makala isemayo NCHI IKO VITANI.Maana sioni kwa nn vyombo vyetu vya habari vinapotosha habari,tena kwa makusudi,cjui nia ni kuushawishi umma kuwa hakuna mgomo,na kuwapotosha madokta wengine ili waendelee na kazi?Hii nchi ni kama nchi ya Kichaa iliyoongozwa na mfalme ****!
   
Loading...