Wao 200,000/= sisi 10,000/= walimu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wao 200,000/= sisi 10,000/= walimu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mohamedi Mtoi, Feb 1, 2012.

 1. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Wabunge wanataka posho za laki mbili kwa sasa wanalipwa elfu sabini, Madaktari wanalipwa posho elfu kumi, walimu wao wapowapo tu hawalipwi wanalipwa! Nao wanatakiwa labda walipwe kiasi gani?
   

  Attached Files:

 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Kwani kura yako ulimpa nani?????????????????????????????????
   
 4. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  hapa iko kazi ila mm naona chamsing serikali ijuuzulu.mbona wenzetu wameweza kuziangusha serikali zao?hata cc hatushindwi.kwahali hii 2015 hatufiki salama
   
 5. K

  Kisoma Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :hatari: hii hali kwa kweli inatisha jamani kwani hawa watu ndio msingi wa maendeleo wa taifa lolotye ila huku ketu hali ni kinyume kabisaaaaa!!!! Ndio maana walimu wa serikali hasa wa secondary sanaa zinakuwa haziishi,wenyewe wanaita mkukubi(mkakati wa kukuza uchumi binafsi),anasaini ofisini saa mbili asubuhi na saa mbili na nusu hayupo! wapi ameenda? mkukubini.
  just imagine degree holder analipwa 390,000/= achila mbali mfumuko wa bei na hakuna posho yoyote hapo kati!

  ACHA IWE NCHI YA WASANII NMA HATA MADOKTA KAZIENI KWENYE SANAA COZ MAISHA NI MAGUMU NA HAKUNA KAZI YA KANISA,
   
 6. M

  Makfuhi Senior Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2008
  Messages: 183
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Waalimu hatutakiwi kuwaonea huruma kwa sababu ndio walioiweka CCm madarakani kwa kusaidia kuiba kura. Wanavuna walichopanda.
   
 7. a

  amenyamana Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wabunge posho sio 200,000 ni 380,000 hata kama ni 200;000 ni sawa na kima cha chini cha mshahara wa mwl tena sidhani kama ni 200,000 nadhani itakuwa chini ya hapo,sasa mbunge kwa masaa machache anapewa mshahara wa mwl au wa mtumishi wa serikali kima cha chini kumbuka huyu amesota mwezi mzima ndo malipo 200,000 mwenziwe siku 1 tena masaa machache hii ni halali eti maisha bora kwa kila mtanzania?nijibu ni wana jamii wenzangu?
   
 8. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Mgaya nae sijui kafia wapi kila siku anawapa siku serikali kabla ya kuandamana
  au na yeye keshavuta simsikii kabisa.
  walimu na ninyi muda wenu ndo huuu zubaeni muone kama kuna atakayewajali
  ...........lkn kura zenu tuliambiwa hazina madhara kwa presnt.............:canada:
   
 9. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,429
  Likes Received: 3,792
  Trophy Points: 280
  Walimu walio wengi wanalipwa Tshs. 120,000/= hadi Tshs. 150,000/=.......... MIND YOU HIYO NI KWA MWEZI .....That means wanalipwa kati ya Tshs 4,000/= hadi 5,000/= kwa siku...... Na hiyo hela anapewa wakati si mjumbe wa bodi yoyote ya wakurugenzi et.etc......... Wakati wabunge hicho wanacholipwa hakihusishi ushiriki wao kwenye bodi mbalimbali wala zile posho mbili mbili ambazo hati THE SO CALLED MTOTO WA MKULIMWA NAYE AMESHAWAHI KULIPWA
   
 10. H

  Haika JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mtoto akikuuliza Maana ya kusoma shule ngumu nini? manake unaweza kuwa na stori nzuri na ukawa na pesa nyingi tu kama ukienda bungeni, au ukiwa na marafiki wa maana kama watoto wa viongozi, unapata ukurigenzi, tenda muhimu, unaingia kwenye kamati maisha yanakuwa mazuri, shule ya nini?
  Ndio sababu hakuna haja ya kuendeleza shule zetu.
   
 11. a

  amenyamana Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli inauma sana mbunge kulipwa tsh 200,000 kwa siku wakati kima cha chini cha mtumishi wa serikali kwa mwezi ni hicho mi nawaunga ma Dr mkono kugoma tena wanapaswa kukaza buti mpaka kieleweke jamani huo ni mshahara wa mwl tena wa mwezi na tunapozungumzia mwl tuzungumzie waalimu waliopo vijijini kuna maeneo mwl anapangwa anatembea kwa mguu kutafuta huduma kilometa zaidi ya nane je wao nao si halali wagome kudai mshahara upande ?angalieni hii mambo kwa umakini
   
Loading...