Viongozi wetu wa Afrika? Wanaboa sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wetu wa Afrika? Wanaboa sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KALYOVATIPI, Feb 1, 2012.

 1. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  yani inasikitisha utakuta jitu limemaliza mihula yote miwili ya uongozi wa nchi lkn alijawafanyia kitu chochote wananchi hafu bado ling'ang'aniza mahakama iunde sheria ya kulifanya eti ligombee mara ya tatu sijui alijui kama wananch wamelichoka. Kama kule kwa Wade senegal yani sijui vp?
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wade anachekesha bora angekuwa hata kijana fulani mtu ana miaka 86! Kwa kweli ni aibu.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  miafrika ndivyo ilivyooo
   
 4. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Inaniboa sana hii mijitu
   
Loading...