Wadau nusu saa iliyopita hapa tunduru gari ya polisi ambayo ilikuwa ikiendeshwa kwa kasi ya ajabu imepinduka na kuua askari mmoja wa kike anaetambulika kwa jina la mere{marry}kutoka ktk idara ya upelelezi (c.i.d)
Pengo lake halitaweza kuzibika
Bwana alitoa,mwendokasi wa gari umetwaa.JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
walikuwa kazini mkuu.
bwana alitoa,mwendokasi wa gari umetwaa.jina la bwana lihimidiwe.