Hivi ni lazima tuwe na BUNGE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni lazima tuwe na BUNGE?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TASLIMU, Feb 1, 2012.

 1. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MI binafsi sioni umuhimu bunge zaidi ya kutafuna fedha za walipa kodi,sijaona mbunge ayewakilisha maoni(shida}ya wananchi.wengi wao maslai yao kwanza,pili chama chake,mwishon ndo wananchi,nakubali kitabu cha Ghadafi Green book,anasema political party its a contemporaly dictatorship or modern dictatorship instrumental governing{naweza sahishwa}
   
 2. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nakuunga mkono, hakuna maana ya kuwa na Bunge hususani TZ. Kimsingi ni maslahi ya kundi fulani ambalo linatawala tu. Ndo maana sehemu yenye sifa moja juu hadi chini kama Ilemela na Nyamagana, Sengerema/Buchosa, Kinondoni/Ubungo/Kawe etc kuna wabunge wawili, watu/serikali wanatengeza majimbo ili wapata maslahi yao. Hivyo hakuna haja ni wizi mtupu
   
 3. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mh kwa kweli ngoja nifikiri na nilinganishe faida na hasara,majukumu yake na yakiondolewa,iwapo litaondolewa ni nini substitute yake,na kuliondoa ni last option au zipo nyingine!
   
 4. T

  Taso JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Na wala bunge letu hili si la kutunga sheria, labda lingefutwa tu.

  Juzi nimemsikia Mnyika na Makamba separately wakidai serikali ilele bungeni mpango wa dharura wa kuokoa uchumi (John) na sheria ya kulinda wapangaji (January). I thought this is really dereliction of duty on the part of the legislators, haya myalete nyinyi bungeni, mpambane ziwe sheria, vingenevyo wizara ya sheria inatosha tu, bunge la nini sasa? Do you remember the last time Bunge limetunga sheria iliyoanzia bungeni, iliyoandikwa na mbunge?

  Kikubwa linachofanya bunge hili in modern times ni kuibua ufisadi, tunasema wanasimamia serikali, lakini kusema ukweli, bunge letu letu halina criminal prosecutor, ushawahi kusikia fisadi gani kaibuliwa bungeni na kafungwa? Ma scandal mangapi kina Slaa wameibua bungeni na hajaguswa mtu? In the final analysis the bunge is just a costly, toothless, tax-siphoning institution which we can do away with, really.
   
 5. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hitler alichoma moto bunge la ujerumani Bundersterg na yeye ndo akawa bunge, wizara, katibu mkuu na Spika alikuwa yeye mwenyewe.! Hakuhitaji wababaishaji wanaotaka kupora pesa za walipa kodi bure.! Tunataka hitler wetu sasa, mi Nikipewa assignment ya ku pofoa libunge letu, fasta cwazi.! Uwezo wa wabunge wengi wa Tz ni kuwakilisha wake zao sio jimbo
   
 6. F

  FUSO JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Ukitaka maendeleo ya kweli - futa mbunge na ondoa vyama vyote vya siasa.
   
 7. S

  Snitch Senior Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa basi Katiba mpya iwe hivyo jamani hapo vipi.... Ha ha ha I'm kind convinced ....

  Thubutu jukwaa la Katiba hili hawalioni kwani sio walilotumwa na mabwana zao...ujue najiuliza Hawa jukwaa la Katiba mbona hawaoni mambo ya Msingi katika maisha ya mtanzania wa kawaida na wanapata wapi fedha hizi za kuchapisha fulana badala ya kueneza Katiba ya zamani kwa kila mtz na kufafanua Kipengele kwa Kipengele ...
  Ila hebu tujaribu kujenga hii hoja bunge lisiwepo badala yake utengenezwe utaratibu wa maamuzi kwa vikao vya wananchi husika kwa RC ha ha ha ha ha

  Na RC awe ndio mwakilishi na kuwe na consent ya wananchi eneo husika labda .....


  Kama wanasiasa watakubali
   
Loading...