Maandamano maandamano maandamno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano maandamano maandamno

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchaga 25, Jan 31, 2012.

 1. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakika muda ukifika hakuna kurudi nyuma, wadau wana wataifa wapenda maendeleo, wapendahaki, wanaharakati, wanaJF, WANAFACEBOOK, WANACCM, WANACHADEMA, WANANCCR, WANACUF, wanamapinduzi wake kwa waume tujitokeze ijumaa saa 3 asubuhi katika maeneo haya mlimani city, ubungo mataa, tazara, magomeni, sayansi, mbagala mwisho, mtoni kwa azizi ally, kimara mwisho kupinga ufedhuli na ubazazi wa nchi hii mimi na mwanangu tutakuwepo, hakika sina cha kupoteza kwani baba na babu wamepoteza miaka 50 iliyopita ni waktai wa kuandika historia mpya.

  Ukoloni mamboleo hauna nafasi Tanzania.
   
 2. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Umenda kwa kuomba kibali kwa mapolice.
   
 3. m

  mtamba Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Yakupinga nn tuweke wazi tujue
   
 4. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utamuomba baba wa kambo ruhusa ya kumpiga kofi
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Utaenda mwenyewe
   
 6. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo ndipo utakapojua kwanini mwakyembe alipewa sumu lakini hakufa
   
 7. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  tuweke wazi maana na mimi nina safari ya kuja huko kama ni sababu ya msingi nitajiunga nanyi....msiliweke pembeni swala la posho za wabunge na mgomo wa madr
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kiongozi wa maandamano ni nani??
   
 9. l

  luckman JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Wananchi wa tanzania wana upungufu wa akili mwilini! Mbunge analipwa 330 a day?mpo mmenyamaza?umeme mmepandishiwa mpo mmenyamaza?viongozi wanakula nchi mmpo mmenyamaza?dah hii shida kweli na kamwe hamuezinkwenda mahala, mtakuwa watu wa kuachwa kila sector!
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe ni nani unataka Watanzania waandamane?
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mnatangazaga halafu mnaingia mitini
   
 12. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,727
  Likes Received: 1,634
  Trophy Points: 280
  huyu katoka usingizini au kaamuka nazo, c unajua siku hizi komputer zetu ni simu
   
 13. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Mi naona maandamano yafanyike siku ya jumapili ili watu wa intelligensia wasiseme eti watu watabughudhiwa makazini na kuhatarisha amani. Tuvaeni magwanda twende vitani kwanza wanachi tuko wengi kuwashinda hao mffu kila mtu awe chupa ya maji mkononi tuone kama hayo mabomu ya machozi yatafanya kazi
   
 14. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Niulize mimi ni nani ninayetaka kuandamana, raia wa nchi, ninayeteseka kwa kulipa kodi na sioni matunda yake, ninaye pinga nchi yangu kugeuzwa shamba la bibi, ninayepinga kuongezwa posho za wabunge, malipo ya dowans, kupanda kwa umeme, ninayepinga wizi wa kiwira, ninayepinga kujazana kwa watoto wa vigogo serikalini, ninayepinga taxi holiday kwenye mahotel, ninayepinga kuchelewesha mikopo kwa wanafunzi, ninayepinga huduma mbaya za elimu, afya na maji, ninayepinga safari nyingi za JK, ninayeunga mkono migomo ya wafanyakazi, ninayepambana na mchuzi bata kama wewe! Je wewe ni nani ambaye usiye taka tuandamane
   
 15. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Atchaguliwa msemaji mkuu tukifika huko huko kwenye maandamano
   
 16. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama kweli una uchungu na hii nchi utahudhuria
   
 17. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #17
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Yaani Madakitari wamefanikiwa kuitisha mgomo wa nji nzima; na sisi wananji tungelikuwa na mshikamano maandamano nji nzima sidhani kama kuna bomu la machozi litakaloruka.

  mbona Serikali walishindwa kurusha mabomu au kutumia nguvu katika Mgomo wa madreva wa malori uliofanyika Mwezi October 2011 na huu wa mwezi january 2012???

  mwezi october Kule Tunduma Polisi walikimbia pamoja na gari lao la maji washa na mabomu yao, wakawatishia waandishi wa habari wasitoe habari hiyo pia na picha zilizoonyesha polisi wakitoa mbio zisiwekwe katika magazeti. lakini madreva walikuwa na ushirikiano.

  TUKIAMUA TUNAWEZA KUMUONDOA ADUI HUYU MNYANYASAJI NA MUUAJI WA RAIA!!!!!

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 18. l

  luckman JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  kasafishe meno ndo maana na maneno unayotoa ni machafu!upeo wako wa mambo mchafu yani kila kitu kichafu!kipato cha mtanzania ni 770,000.00 kwa mwaka mbunge anapata 660,000.00 kwa siku mbili!hizi akili matope!amkeni nyie vipofu na viziwi! Mnafikiri kutumia nini?
   
 19. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimeuliza wewe ni nani unaetaka Watanzania waandamame? Sijakuambia wewe usiandamane! Sasa uoni kama unatwanga maji kwenye kinu, watu hawakujui wewe ambae ndio kiongozi wa maandamano unaandika huku umejificha kwenye Laptop. Jitokeze watu wakujue mkuu.
   
 20. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #20
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  majibu : raia wa nchi, ninayeteseka kwa kulipa kodi na sioni matunda yake, ninaye pinga nchi yangu kugeuzwa shamba la bibi, ninayepinga kuongezwa posho za wabunge, malipo ya dowans, kupanda kwa umeme, ninayepinga wizi wa kiwira, ninayepinga kujazana kwa watoto wa vigogo serikalini, ninayepinga taxi holiday kwenye mahotel, ninayepinga kuchelewesha mikopo kwa wanafunzi, ninayepinga huduma mbaya za elimu, afya na maji, ninayepinga safari nyingi za JK, ninayeunga mkono migomo ya wafanyakazi, ninayepambana na mchuzi bata kama wewe! Je wewe ni nani ambaye usiye taka tuandamane watanzania kuwandamana , ok ngojea niangalie IP yako
   
Loading...