Mkurugenzi wa muhimbili akiri ma dk wa jeshi awatoshelezi kutibu wagonjwa waliopo;kuonana na pinda

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Marina njelekela akiri ma dk wa jeshini awana uwezo wa kutibu idadi ya wagonjwa waliopo
wamepanga list ya watu 5 ma dk bingwa wakijiandaa kwenda kwa waziri mkuu katika hilo kundi
kichekesho wameomba watu watatu kutoka uongozi wa ma dk waandamane nao ati ili wakaonane
na ma dk....

Swali

waziri mkuu nahisi ni waziri mkuu mwehu kuliko wote waliopita iweje akubali kuonana na ma dk aaliokwisha wafukuza kazi kisheria.....kama alikiri kufukuza kila dk asiefika kazini hawa anaenda kukutana nao kama nani
kweli kazi tunayo kikwete aliambiwa unatuletea vimeo sehemu muhimu kama hizo haya ndio madhara yake
tusubiri kesho
 
lazima linatumia lile janii kuu hili bazazi.....hovyo kabisa sura kaaa nini sijui.nyambaf zake
 
Swali

waziri mkuu nahisi ni waziri mkuu mwehu kuliko wote waliopita iweje akubali kuonana na ma dk aaliokwisha wafukuza kazi kisheria.....kama alikiri kufukuza kila dk asiefika kazini hawa anaenda kukutana nao kama nani
kweli kazi tunayo kikwete aliambiwa unatuletea vimeo sehemu muhimu kama hizo haya ndio madhara yake
tusubiri kesho

Waziri Mkuu anyeshindwa kufanya maamuzi na kuishia kuangua kilio atakuwa na lipi jipya...sana sana atasema ngoja nikashauriane na wenzangu maana bajeti ilishapita mpaka mwaka ujao wa fedha.
 
Uamuzi wa busara ni kuwapeleka/chanel wagonjwa Lugalo wakawatibie hukohuko.
Kufanya hivyo ingeonekana si propaganda kama ambavyo ni obvious sasa.
 
Back
Top Bottom