kula kiapo ni kwa Ma daktari Tu? Je Wanasiasa hawali kiapo na wengineo

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,393
4,056
kumekuwa na lawama nyingi ka madktari na hata walimu tunasema kazi zao ni wito nk nk, je wana siasa au kuwa kiongozi si shughuli ya wito, na je hawa li kiapo wa kutenda haki?
 
Back
Top Bottom