MKAZI kijiji cha Gehandu,Wilayani ya Mbulu Mkoani Manyara, Gainame Mori (61) amefariki dunia baada ya kukabwa na vinyango ya nyama wakati akila chakula kwenye mazishi ya jirani yaliyofanyika...
Bandugu niko mjengoni leo na asubuhi hii daladala moja imechomeka kwa moto, Mungu bariki abiria wote waliokuwa ndani walifanikiwa kutoka salama. Angalizo kwa wamiliki na waendeshao magari, kuna...
madaktari wanavyoendelea kujipanga na mgomo.kulikuwa kuna mashaka kwamba kungeweza kutokea mgongano kati ya jumuia ya madaktari iwapo kungeundwa kikundi kikingine cha kufuatilia madai yao.hivyo...
ukiangalia kwa kina mwenendo wa nchi yetu kwasasa unaweza kukubaliana na mimi kwamba hali ya taifa letu imefika pabaya, nasema hivyo kutokana na mambo yanayoendele nchinichini.
Mfano: mgomo...
Madaktari pingeni posho za wabunge na sio kuwaacha waTz wakiteseka mahospitalini eti mnalipwa hela ndogo ,huyo unayemtibu hapo hajui kula yake ya siku ataipata wapi. Wacheni kuwadhalilisha
Engineers Registration Board nao wameanza njaa zao na ulafi Kuwa nyima Pesa Hawa Trainee Engineers chini ya program ya SEAP(structured Engineer Apprenticeship Program)ambao ni Wanawake kwa kutoa...
Natafakari huu mgomo wa madaktari ulioanza kumi la mwisho wa mwezi uliopita (January) ki ukweli hauna mahusiano na Ghost Workers?
Vile mazungumzo yalivyoanza kwa interns kisha MAT kupenduliwa na...
Salaam wana JF wenzangu.
Nikiwa katika moja ya majukumu yangu ya kila siku, nilikuwa nafanya projcetions na washirika wenzangu wa kibiashara, tulipofika EAC Region na hasa nchi ya Tanzania...
kama chanzo cha minunguniko ya nchi inaelekezwa dhidi ya wabunge walio chaguliwa kwa ridhaa za wananchi wenyewe. Yaani kama bunge ni kioo cha ufisadi nchini. Basi nchi inahitaji kufanyiwa...
Rewarding failure, laziness and skiving is an intrinsic part of Tanzania's media culture. I'll be surprised if anyone will complain about these unknown individuals under the name of "Na Mwandishi...
Watanzania sio tu wabunge ambao ndio wawakilishi mliowachagua wenyewe kwa huba na mapenzi yenu sio tu wanaamini kuwa wana haki ya kuwa na mishahara, marupurupu na posho kubwa kubwa, bali pia kwa...
kwa wale wanaoptosha habari kuhusu mgomo wa madakitari either kwa makusudi au bila kuelewa
kila hospitali tumeacha mtu wa kwaajili ya emergency cases.sisi sio wauaji,tunaelewa anayeumia ni...
Jana jumapili katika mkutano wa hadhara maeneo ya kijitonyama kwa Ali Maua , Mbunge wa Arusha mjini alihutubia maelefu ya wakazi wa Dar akiwa pamoja na viongozi wengine wa Chadema wa Mkoa wa Dar...
Siku moja, nikiwa Mkuu wa Idara ya Itikadi na mafunzo katika chama cha siasa(naomba nisikitaje),nilirushiwa swali na mtu mmoja akitaka nimweleze ni nini itikadi ya chama chetu na inatofautianaje...
Katika toleo lao la jana, limendika habari - ZITO AMZUSHIA REGIA, kama habari yao ya kwanza na ya muhimu.
Wamesahau habari za mgomo wa madaktari,habari na hoja mbalimbali zinazotakiwa...
Hapiness katabazi, mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima; siku ya jumatatu aliandika makala yeye kichwa cha habari Ni Mgomo wa madaktari kweli. Nimeinakili makala hiyo hapa na nimeweka maswali...
Nafahamu CDM inampatia katibu mkuu W. Slaa maslahi sawa na ya mbunge. Hii ni kutokana na makubaliano yaliyopelekea Slaa kuachana na ubunge na kupeperusha bendera ya CDM kwenye kinyang'anyiro cha...
ninahitaji kutuma barua arusha, barua hii inatakiwa kufika kabla ya saa tatu asubuhi kesho, nataka kuupeleka Ngorongoro Conservation Authority
.
Kama kuna mtu anakwenda Arusha leo na anaweza...