Serikali imefilisiwa na mafisadi, halmashauri Mbozi wamekopa 100m kutoka Lima Ltd

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Halmashauri ya Mbozi imekopa 100m kutoka Lima Ltd ili kuweza shughuri za gvt.Barua ya maombi hayo ipo uk wa mbele gzt la ANIKA UKWELI
 
What's the big deal? Kukopa ni dhambi? Hata USA wanakopa CHINA
 
What's the big deal? Kukopa ni dhambi? Hata USA wanakopa CHINA
Mkuu serikali inaendeshwa kwa Bajeti iliyopitishwa na Bunge na mabadiliko yoyote ya Bajeti lazima Bunge litaarifiwe.Bajeti ni mapato na matumizi ya Serikali hivyo hakuna shughuli inayofanyika bila kuwa ktk mpango ulioidhinishwa ktk bajeti!unajua implication ya kukopa nje ya mpango wa bajeti? Ukitoa mgogoro wa kisheria gharama za bajeti kuongezeka (kupitia loan interest charges na unajua average interest rate za mikopo hapa Tz kwasasa!) kuongezeka gharama ktk bajeti kunaivuruga bajeti na kuathiri shughuli zingine zilizokwisha pangwa! Hapo kumbuka sijataja inflation rate fluctuation(now more than 20%!) ambayo ni one of the biggest factor which affect approved budget.jumlisha hayo uone nini kitatokea!
 
What's the big deal? Kukopa ni dhambi? Hata USA wanakopa CHINA

mkuu serikali inautaratibu wa kukopa through either ministry of finance or BOT.
Either long term loan or T- Bills or Bonds.
Sasa ili la almashauri kukopa, limekaa nje ya utaratibu wa ki serikali.
 
mkuu serikali inautaratibu wa kukopa through either ministry of finance or BOT.
Either long term loan or T- Bills or Bonds.
Sasa ili la almashauri kukopa, limekaa nje ya utaratibu wa ki serikali.

Hizi porojo kuwa front page hakumaanishi ni sahihi subiri kama hujasikia gazeti limetoka na kufutika kwa kesi mahakamani hakuna mkopo kama huo halmashauri ya mbozi siyo kichuguu kisicho na waelewa kujua taratibu za mikopo! Halmashauri ya mbozi inawadai Lima fedha za ushuru zinazotokana na mauzo ya misimu miwili baada ya kahawa iliyouzwa na wakulima kupitia kampuni hiyo kutakiwa kurejesha ushuru kama ambavyo maksmpuni mengine yanavyofanya kupitia mnada wa moshi! Porojo za kuifanya mbozi haina watu wenye uwezo wa kufikiri ni utani!!!
 
mkuu serikali inautaratibu wa kukopa through either ministry of finance or BOT.
Either long term loan or T- Bills or Bonds.
Sasa ili la almashauri kukopa, limekaa nje ya utaratibu wa ki serikali.

Labda ndiyo implementation ya sheria mpya ya PPP's ya mwaka 2010, lakini bado haijakaa vizuri kwani kwa own source mbozi iko juu sana. inawezekana ni ktk kuleta mbolea ya ruzuku kwani taratibu za mwaka huu hazijawa sawa na lima ninachojua ni wakala aliwapatia sharti moja halmashauri la kumhakikishia kununua kahawa kwa wananchi ndipo asambaze mbolea kwa mkopo.
 
Waziri wa Tamisemi akijibu swali la Mohamed Misanga bungeni leo amekiri serikali kukosa pesa za shughuli za maendeleo kwa ajiri ya halmashauri. The extent of the problems cant be overemphasized ingawa sidhani kama wanaruhusiwa kukopa wanakotaka kukopa.
 
Back
Top Bottom