CCM imeshindwa kutawala nchi , nchi imeyumba sana. Lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM imeshindwa kutawala nchi , nchi imeyumba sana. Lema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Henry Kilewo, Jan 30, 2012.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Jana jumapili katika mkutano wa hadhara maeneo ya kijitonyama kwa Ali Maua , Mbunge wa Arusha mjini alihutubia maelefu ya wakazi wa Dar akiwa pamoja na viongozi wengine wa Chadema wa Mkoa wa Dar *( Henry Kilewo ) . Mb huyo amesema kuwa Tanzania kwa sasa inaishi kwa faraja inayotokana na uoga kwani hali ya maisha ilivyo kulikuwa hakuna sababu ya kusubiri kufika mwaka 2015 , akiongea kwa uchungu Mh Lema alisema, Ni aibu kubwa Rais kuacha mgomo wa Madaktari nchini na kwenda nje ya Nchi na akifananisha na hali hiyo ni sawa na kijana kumuacha mke wake hosipitalini akisubiri upasuaji wa uzazi na kwenda bar kucheza Pool table , Viongozi wa Taifa hii wamekosa huruma kabisa , maisha yamekuwa magumu sana , watu hawana amani tena na maisha , kwani kesho imekuwa ya mashaka zaidi kuliko leo , lakini nyie watu wa Dar mnaendelea kutumika na chama tawala katika kuendeleza mateso haya Tanzania , hawa watu wametawala miaka 50 lakini bado wameshindwa kutoa dira ya maisha bora kwa watanzania tena ndani ya nchi yenye rasilimali tele , Arusha , Mbeya , Mwanza , Shy, wananchi wameamua na wanahitaji ukombozi , na sasa tumeanza mikutano Dar *operation maalumu tunayoita *" operation ondoa CCM Dar " tumesema sasa tutaingia kila kitongoji mpaka kieleweke.

  Naye Mbunge wa Mbeya mjini Mh Sugu amesema ni aibu watu wa Dar wanaojiita wajanja na wanaishi makao makuu ya Nchi kushindwa kuwa chachu ya mabadiliko katika taifa letu. Huku Katibu wa Mkoa wa kinondoni ndg Henry Kilewo akisisitiza kufanya operation ya kuamsha Dar mpaka kieleweke na kuwataka wananchi wa Dar kuwatia moyo madaktari wanaopigania haki zao na kuitaka serikali kuchukua hatua za kuzingatia masilahi ya madaktari na sio vitisho.
   
 2. m

  maselef JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  All is crystal clear
   
 3. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Kamanda upo makini sana pia m2 asiye mwoga wala mramba nyayo , keep it up braza nd bravo CDM.
   
 4. n

  never JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  " Chadema na wakubali sana " jana Kamanda Nassar alikuwa Babati na Mnyika alikuwa Morogoro na huko Zanzibar Kamanda mkuu Mbowe alikuwa na Dr Slaa na viongozi wengine wakuu na Juzi Kamanda Sugu , Rose Kamili , Henry Kilewo waiendeleza mapambano Dar maeneo ya Kigogo huku Kibaha akichakazwa vikali na Msigwa , Heche na Makamanda wengine . Kikwete siku zako kukaa ikulu zinahesabika*
   
 5. k

  kiche JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tatizo la Dar watu/vijana hawapigi kura,kumbukeni kuwaelemisha umuhimu wa kupiga kura na kuzilinda,hilo ni la muhimu sana,kura walizopata ccm ndizo za kwao,wao uwa ni mabingwa wa kuhamasishana kwenda kupiga kura hata mgonjwa wanamkokota,yale mamilioni ya kura ambazo hazikupigwa asilimia kubwa ni za upinzani,kwa hapa tulipofika ccm haina kitu,toeni elimu ya umuhimu wa kupiga kura,ubovu wa ccm hakuna asiyeujua.
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Safi sana.
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Imenifurahisha sana
   
 8. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana makamanda mapambano muda wote mpaka kieleweke,hi serikali legelege ya CCM ni ya kuiondoa madarakani mapema la sivyo nchi muda wowote inakuwa mfu kwa ujinga wa watu wachache wa serikali dhaifu ya CCM.
   
 9. s

  step Senior Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Kwa kweli tunahitaji mabadiliko, jana nikiangalia televisheni TBC wakati PM Pinda akitoa hotuba ya kuwaamuru madaktari kurudi kazini Katibu mkuu wa wizara ya Afya mama BLandina Nyoni alikuwa akisinzia sinzia nashukuru mpiga picha aliliona hili na alikuwa akirudia rudia sehemu hiii, maskini wizara hii katibu anasinzia hazarani na katika hotuba nyeti kama hii je huko ofisini kwake kazi inaenda kweli?
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  watu wa arusha kwa sasa wanalalamika hali ngumu ya maisha kutokana na migogoro inayosababaishwa na LEMA.wanajutia kura zao za mwaka 2010 kwamba hawatarudia makosa na wanamuomba mungu awasamehe.wanasema ili kuthibisha hilo wataanza na uchaguzi wa kata nne za madiwani waliofukuzwa.
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Lema arusha imemshinda,ya dar atayaweza?aache siasa za majitaka.
   
 12. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Hangover za valuer na uenyeji wako humu:

  [​IMG]MemberArray


  Join Date : 27th January 2012
  Posts : 46
  Rep Power : 310
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hivi Lema anajua nini kuhusu nchi hii zaidi ya kujua mipango ya w**i wa magari. Si mwanasiasa huyu ni mlopokaji tu na mtaalamu wa unyang'anyi.
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mzee wa mistari ya hip hop hajui hata makao makuu ya nchi yako wapi... huyu mwingine siri zake anazo ZOMBE...wanakaa kuwarubuni watanzania... hivi wamefanya yapi katika majimbo yao tangu walipochaguliwa hawa?
   
 15. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa nini usijadili hoja, unajadili mtu?
  Hata Paulo kabla ya kuongoka alikuwa muuaji .........
  Ni kweli Tanzania inarasilimali nyingi na zimeshindwa kusimamiwa, hapa karop[oka nini?
  Ni kweli kuna mgomo wa madaktari, but rais ameenda nje ya nchi akiaacha waTZ wagonjwa wakiteseka, kuna urpokaji hapo au ni UJUHA wako?
   
 16. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Da yan lema hi nchi aruhusiwi kwongea, aa huwez stopisha moto wa lema. Hata zuberi kajarib ila kashindwa
   
 17. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  We pimbi umeshawahi kufika arusha wewe? Wana arusha wanahitaji mabadiliko zaidi ya haya,na tunaamini njia tunayopita ni sahihi na isiyo na mashaka sisi tuliopo huku tunawashangaa wajinga kama wewe mliobaki ccm. Unashangaza wewe yaani tuingie peponi halafu tuitamani jehanam?labda tungekuwa vichaa kama wewe
   
 18. fikrapevu sungura

  fikrapevu sungura Senior Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona hoja imewakuna weeeeeengi.
   
 19. only83

  only83 JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ile kauli yao ya CDM ni chama cha msimu wameacha..sasa hivi wamegeuka na wanasema "Jamani baada ya uchaguzi,siasa tunaweka chini tunatekeleza ilani iliyochaguliwa" magamba wameshikwa pabaya...
   
 20. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Eti arusha imemshinda!!njoo arusha kisha muulize mtoto wa miaka 6 lema ni nani atakwambia. Halafu the way unaandika ni kama shoga flani hivi. Mwanamume kamili hawezi mgaga mipasho kama hiyo. Umeolewa gay?
   
Loading...