MSAADA: kwa anakwenda ARUSHA leo ani PM tafafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA: kwa anakwenda ARUSHA leo ani PM tafafadhali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uswe, Feb 2, 2012.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ninahitaji kutuma barua arusha, barua hii inatakiwa kufika kabla ya saa tatu asubuhi kesho, nataka kuupeleka Ngorongoro Conservation Authority
  .
  Kama kuna mtu anakwenda Arusha leo na anaweza kufikisha bahasha hii Ngorongoro Conservation Authority aniPM, ili tuongee kuhusu namna nitampa hi bahasha, I will pay kidogo money for your time and help.

  asante.
   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  Mkuu

  Zingatia maadili ya Jukwaa


  Nenda Ubungo Pale ukaitume kwa Dar Express itafika kwa amani usalama na utulivu mmjulihe mtu aipokee ili kuiwahisha
   
 3. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa hata airport leoleo
   
Loading...