Daladala nyng'anyang'a kwa moto! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daladala nyng'anyang'a kwa moto!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nimie, Jan 27, 2012.

 1. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Bandugu niko mjengoni leo na asubuhi hii daladala moja imechomeka kwa moto, Mungu bariki abiria wote waliokuwa ndani walifanikiwa kutoka salama. Angalizo kwa wamiliki na waendeshao magari, kuna umuhimu mkubwa wa kucheck Fire Extinguisher zenu. Zipo fire extinguisher za aina 4, lakini nyingi ya hizi tulizonazo kwenye magari zina power form chemicals na gases, hizo chemicals huisha nguvu na kuwa na mabonge mabonge, na itakapotokea ajali ya moto haitasaidia, service yahitajika kila baada ya miezi 6. Hebu angalia mtungi wako una muda gani haujafanyiwa service!
  Nawasilisha. dd.jpg
   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hujasomeka! Mjengoni wapi? Daladala limeungulia wapi? au una Biashara ya FIRE EXTINGUISHER? Mmmmh...
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Hiyo taito inabido uwe na valuu kichwani ili uielewe.
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Huyu yaelekea amelala na value kichwani.
  Na akaamuka nayo na akakutana na hili janga la moto na akashindwa kujua yeye mwenyewe yuko wapi muda yenyewe.

  Ulevi nomaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
   
 5. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  tunavyojazana kwenye daladala ipo siku tutateketea....
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Aisee,
  Mmechanganyikiwa eeh?
  Mbona mnaifuatilia sana valuu bana?...nyie vipi?
  Mmeshawahi kunywa valuu nyie, au mnaisikia kwenye michapo?..au labda mnaongelea valuu ya kiroba inayosindikwa UngaLtd?
  Valuu ya chupa ina hishima yake bana!...tuache kuzing'ong'a pombo zinatengenezwa na BrewMasters waliopoteza miaka kuusaka weledi wa hizi vinywaji!
   
 7. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimeoina leo asbh
  Ni ya wapi mkuu? ipagala, aread d, swaswa, 88, kisasa au nzuguni?
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Piga promo mwana,lol!
  Fire extinguisher zenyewe tunanunua kwenye foleni ili kuwaziba mdomo polisi. We don't do it for ourselves.
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  wabongo bana....aaaarggh!
   
 10. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Bora uhai haujapotea!
   
 11. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  haaaah haaaaaaah ahaaaaaaaaahhh!!
  PJ heshima mbele fafanua wadau waweze kukuelewa :photo:
   
 12. MANI

  MANI Platinum Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  King'asti lakini ni kwa faida yako in case kitu kama hicho kinatokea !
   
 13. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wacha mambo ya ajabu weye, nani asiyejua kuwa mjengoni humaanisha Dodoma kulipo jengo la bunge.
   
 14. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndo tatizo la wabongo, hata mikanda wanafunga wamwonapo traffic. Hivi kama hatuwezi kujitunza, ndo tutatunza mali za nchi kweli? Hivi hata kama mtu hupendwi, na wewe ndo unamalizia kwa kutojipenda?
   
Loading...