Mwanahalisi ni gazeti la udaku kwa sasa?Linatumiwa na wanasiasa wachache?Limenunuliwa na mafisadi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanahalisi ni gazeti la udaku kwa sasa?Linatumiwa na wanasiasa wachache?Limenunuliwa na mafisadi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TUNTEMEKE, Feb 2, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Katika toleo lao la jana, limendika habari - ZITO AMZUSHIA REGIA, kama habari yao ya kwanza na ya muhimu.

  Wamesahau habari za mgomo wa madaktari,habari na hoja mbalimbali zinazotakiwa kuwasilishwa bungeni ktk bunge hili linaloendelea,Na ukiisoma habari hii utagundua ni muendelezo wa chuki wa gazeti hili dhidi ya Zitto Kabwe.

  Mwanahalisi kwa sasa limekuwa gazeti lililopoteza uzito mbele ya jamii. Kuna haja ya kutafiti chanzo cha gazeti hili kuwa kama wakala wa mafisadi au wanasiasa wenye chuki.

  Linapoteza Watanzania na kuwafanya wasahau hoja nzito zinazolikabili taifa kwa sasa na kutuletea habar ya udaku.
   
 2. S

  Snitch Senior Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unajua kuna msemo unasema when a dog bites a man that is not a news but when a man bites a dog that is a news'.... Sasa Hawa jamaa watu wengi wameshawachoka sana kwani wanajua wakiandika watu Maarufu km Zito,JK na Ikulu watu watastuka kwani haikuzoeleka katukana au kumkashifu Kiongozi wa nchi ni habari...

  Just like Mbwa akimng'ata mtu sio habari si ni kawaida ila binadamu akimng'ata mtu ni habari kwakua haijazoeleka hivyo kwahiyo hili linajulikana ndio maana wanatumia nguvu nyingi sana ktk kuhalalisha ujinga wao, hatukatai km kuna madudu yanafanyika ila wao sasa wanazidisha udaku kwa kigezo cha kuinvesstigate nadhani wao wanaistigate Zaidi .

  Kingine ni Kuwa wanajaribu kumchafua ZITO kutokana na tetesi kua Dogo atawania Urais na anakubalika ndani na nje ya nchi, inawezekana Wana agenda ya Siri kumchafua.
   
 3. S

  Shansila Senior Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mmoja wa wasomaji wa mwanahalisi,sioni mantiki ya shutuma unazozielekeza kwake!Mwanahalisi ni gazeti la kila wiki linaloandika habari kwa njia ya makala ndefu.Kwa mfumo wake,siyo rahisi kuandika habari unazozitaka,mfano mgomo wa madokta watauandikaje wakati katika wiki nzima,siku hadi siku zimebadilika!Huenda ktk siku za usoni wakaandaa makala inayohusu hilo.Ila kwa sasa nakushauri ili ukate kiu yako ya kupata habari za kila siku nakushauri ununue daily newspapers kama Mwananchi,Tza daima n.k.
   
 4. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  vip ndugu,ww unahisi habari za Zitto,Rostam na mbowe,zina maslah kwa Taifa,kwa nini wasingeandika habar ya uchunguz kuhusu mgomo wa madaktari au hoja mbali mbali zenye maslah kwa taifa.Na kwa nin kila siku wamuandike mtu.Lazima kuna ajenda iliyojificha Mwanahalisi.
   
 5. N

  NZELLA Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  THERE MUST BE A REASON BEHIND THAT trend of events over the victim!
   
 6. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Soyo siri, gazeti la Mwanahalisi, lilokuwa kipenzi cha wasomaji wa habari za uchunguzi na maovu mabaya katika jamii, limeshuka sana umaarufu.
  Aidha "limepoozwa" na mafisadi au uoga umeingia katika menejimenti yake na wanahabari wake.
  Kwa sasa hela yangu naiweka katika gazeti la Raia Mwema, Jenerali Ulimwengu ameprove kuwa mwanahabari of all seasons.
   
 7. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mtu mwenye akiri zake hawezi kusoma gazeti la mganga njaa
   
Loading...