ERB walipeni Trainee Engineers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ERB walipeni Trainee Engineers

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Snitch, Feb 2, 2012.

 1. S

  Snitch Senior Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Engineers Registration Board nao wameanza njaa zao na ulafi Kuwa nyima Pesa Hawa Trainee Engineers chini ya program ya SEAP(structured Engineer Apprenticeship Program)ambao ni Wanawake kwa kutoa wapa Pesa za kujikimu ambazo haijulikani wasipo pewa Return yake inaratibiwa au inapelekwa wapi Kama sio kuliwa tu..

  Hatukatai Kama kuna ucheleweshwaji wa Report lakini hata hivyo kuna mAkosa ya kiusimamizi na pia kuna ucheleweshwaji unaosababishwa na mazingira waliyo na wanayofanyia kazi Kuwa magumu Kumbuka Pesa yenyewe ni ndogo hata na bado wanaitolea macho...

  Kuna baadhi ya Hawa Trainee wamekua ombaomba sana maofisini Kwetu sasa imekua kero km hamtaki kuwalipa sitisheni hiyo program na pia Kama mnataka iendelee wekeni utaratibu mpya unaomjenga mtu badala ya kungojea kigezo cha kusubmit report tu hii haifai.

  Walipeni Pesa zao acheni ulafi toshekeni Hawa nauli watapata wapi au mnatengeneza mazingira wawe inconfidence and incompetent....
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa rahisi ivyo si ungekaa kwenue ukaletewa mshaara mwisho wa mwezi
  wapeleke ripoti acha kuleta unaa bana kazi na dawa
   
 3. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Utakua mmoja wao wanacheleweshewa malipo just be open!!! by the way Prof NINATUBU LEMA atakua hana hekima kama hatalighulikia hili swala mapema ...
  poleni sana
   
 4. S

  Snitch Senior Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi Nina kakeki kangu Ndugu yangu hako ka Pesa kao hakawatoshi kwani tunafikiria uwezekano wa kuwasaidia hapa Kwetu ..

  Wengi wao ni fresh from school...
   
 5. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Hivi aliyepost hii thread ni trainee engineer? au ni mtu gani yailahi!

  Maudhui ya mada yenyewe ni kulipwa ili uwe trained, kwa faida ya nai sijui!!
  Pdidy , you are right, ingekuwa kupata uEng ingekuwa kirahisi hivyo basi kaa nyumbani kujipunguzia matatizo.
   
Loading...