Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Tanzania ina Mikoa Mingapi kufikia Jan. 2012?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ronal Reagan, Feb 2, 2012.

 1. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,681
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Salaam wana JF wenzangu.


  Nikiwa katika moja ya majukumu yangu ya kila siku, nilikuwa nafanya projcetions na washirika wenzangu wa kibiashara, tulipofika EAC Region na hasa nchi ya Tanzania tulikwama kidogo. Kwa sababu ndogo tu, sina taarifa sahihi za nchi ya Tanzania ina mikoa mingapi kwa sasa. Pia vitu kama utawanyiko wa makazi na idadi ya watu nk nk


  Naomba msaada maana ktk link hii ya Serikali inaonyesha ni mikoa 21 Bara na 5 Z'bar. Je vipi kuhusu mikoa mipya ya Njombe, Katavi nk?

  The Tanzania National Website
   
 2. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,827
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Mikoa 21 for Tanzania bara + Mikoa 5 for Zanzibar ilikuwa ya zamani sasa hivi imeongezeka mikoa ya
  1. Geita
  2. Simiyu
  3. Katavi
  4. Njombe
  Hivyo Tanzania sasa hivi ina mikoa 21+5+4 = 30.
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,389
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  serikali ya kishkaji hutafutiana ulaji kwa gharama yoyote.
  Mikoa mipya kila siku, wilaya ndio usiseme...
   
 4. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,700
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Mikoa miwili tu.

  1. Tanganyika
  2. Zanzibar
   
 5. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,681
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160

  Asante sana Bob,

  Lakini hivi kwa nini hawa-update website yao? Si wana watu wanawalipa kwa hiyo kazi?
   
 6. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,681
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hapa nimejifunza jambo,

  Kwa takriban miaka 10 hivi tumekuwa na mikoa 5 mipya, so nitatumia ratio ya 1:2 i.e. (ratio ya mkoa mmoja kila miaka miwili) x no. of yrs projected..!!
   
Loading...