Nchi inatikiwa kufanywa leadership transfusion | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi inatikiwa kufanywa leadership transfusion

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MZIMU, Feb 2, 2012.

  1. MZIMU

    MZIMU JF-Expert Member

    #1
    Feb 2, 2012
    Joined: Apr 29, 2011
    Messages: 4,080
    Likes Received: 30
    Trophy Points: 145
    kama chanzo cha minunguniko ya nchi inaelekezwa dhidi ya wabunge walio chaguliwa kwa ridhaa za wananchi wenyewe. Yaani kama bunge ni kioo cha ufisadi nchini. Basi nchi inahitaji kufanyiwa leadership transfusion. Maana gonjwa tunalo umwa ni hatari kwa amani na utulivu wa nchi.

    inanikumbusaha fasihi ya kitabu cha animal farm, ambacho kilipigwa marufuku katika baadhi ya nchi.
     
Loading...