Nashindwa kuelewa kama kweli haya mabomu yanalipuka yenyewe or there is a conspiracy behind? Hivi macomrade inawaingia akilini kweli kwamba haya mabomu yanalipuka yenyewe tuu? Then where next, is...
Rais Barack Obama
Mwandishi Wetu
MAREKANI imeungana na Uingereza kushinikiza kutambuliwa kwa haki za mashoga, ikitumia rungu la misaada yake inayotoa kwa nchi mbalimbali duniani, huku ikitenga...
MWONGOZO
STRIKE EXTENSION : ADDITIONAL 48 HOURS WEEK FULL STRIKE
BAADA YA SERIKALI KUTOONYESHA NIA YA KUTATUA MADAI YA MADAKTARI NA BAADA YA MASHAURIANO NA MAPENDEKEZO YA MADAKTARI WA MIKOA...
Taarifa iliyopatikana ni kwamba,wafanyabiashara wa Nyumba za kulala wageni katika Manispaa ya Morogoro wamefanikiwa kupata Amri ya muda ya mahakama inayowasimamisha BAMM Solutions na Mkurugenzi wa...
Ninapata mashaka na uwezo wa kufikiri wa mama huyu na kumwona kua ni msahaulifu.
Mara ya kwanza alipotelea ufafanuzi suala la kupandishwa kwa posho za wabunge alidai kua gharama za maisha...
WATAWALA WA TANZANIA NADHARAU ZAO KWAWANANCHI.WANAOWAONGOZA!? ........(NUKUU
YA LEO!!).......
Anna Makinda - Tumeongeza posho kwa wabunge kwasababu
maisha ya Dodoma yamekua...
Wakuu nimeaona vema kuleta hoja hapa jukwaani kuilalamikia kampuni ya simu za mkononi kwamba inaumiza sana wateja wake kwa bei za hudama zake.
Bei yao ya kupiga simu kwa sasa ndo inayoongoza...
Mwezi wa january katibu mtendaji Nacte alitangaza vyuo vilivyopata usajili wa muda na vile vilivyopewa usajili wa kudumu napenda kufahamu kwa wanaojua mambo ya usajili je chuo cha ARUSHA...
serikali ya kipuuzi, huja na hoja zakipuuzi, hutatua matatizo yake kwa njia zakipuuzi na pia upuuzi ndio huchukua sehemu kubwa ya utendaji wakipuuzi kwenye serikali hiyo yakipuuzi zaidi kuliko...
kutokana na ukweli ya kwamba wanasiasa wengi ni waongo ili kuendeleza uongo wao kwa wananchi,wamekuja na kauli mbiu mpya ambapo pale mwanasiasa anapokosa jibu la moja kwa moja, huwa wanajibu kwa...
Medical director na Director of clinical services Bugando Medical centre wapata promotions kuwa associate Professors......
Hizi promotions kwenye vyuo vyetu zinafuata vigezo au ndo ukiwa mtawala...
Wana Jamii
Nionavyo mimi, hali ya NCHI ni TETE kuliko tulivyozoea. Baadhi ya viashiria ni hivi hapa:
1. Hazina ni kweupe. Mhe. Waziri Mkuchika alibainisha hili, japo Serikali imekuwa ikipinga...