nyuklia irani/tanzania

Kama unaunga mkono Iran kuwa na weapons of mass destruction, hebu fikiria kwa muda tu iwapo kama MUAMMAR GADDAFFI angekuwa na silaha hizo pale aliposhambuliwa na NATO mpaka akajificha kwenye mtaro, je hudhani kama angeweza kuzitumia silaha hizo as his last resort defence? Na kama angezitumia madhara yake yangekuwaje?
 
Kama inatumia kwa uzalishaji wa nishat ni safi lakin vingnevyo siung mkona urutubishaj huo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom