Samuel Sitta utaweza peke yako ?

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Ni kiongozi peke yake aliyebaki anaekaripia mafisadi .takribani wabunge wote wa CCM wapo kimnya hakuna anaezungumzia kuhusu ufisadi kila mmoja anogopea maisha yake,tukirudi kwa mzee sitta hatujuwi ni muda gani atakuwa nasi kwani hata yeye mwenywe amesha wahi kueleza kuna kundi lina muwinda kwa uvumba na ubani, wawindaji wanasema ni (a matter of time) inasemekana Dr H M. imekuwa ni kigezo kwao.
 
Back
Top Bottom