BRKNG NEWS: Ayobola Abiola hatimae aondolewa nchini

Tina

JF-Expert Member
Jul 9, 2007
572
579
Habari za kuaminika kutoka BOT kitengo cha banking supervision zinakiri kupokea barua kutoka Nigeria za kumtaka Ayobola arudi/Recalled UBA-HQ kutokana kuvuja kwa mabaya yake na kusababishia UBA TZ kukimbiwa na wafanyakazi takribani wote. Habari za huyu jamaa zimeandikwa sana hapa JF kwa nyakati tofauti
 
mmh
hatimae yale yaliyokuwa yakisemwa yamekuwa kweli
 
mkuu tupe kwa uchache alikuwa anafanya kazi gani hapo bank na ni mabaya gani hasa yaliyotajwa??watanzania walikuwa wanasubiri taarifa kutoka nigeria ili wachukue hatua au ni nini
 
dada zetu waliachwa kweli maana nikiangalia ubaya wake sijajua zaidi ya kutupitia dadazetu na ushawishi wake
 
Habari za kuaminika kutoka BOT kitengo cha banking supervision zinakiri kupokea barua kutoka Nigeria za kumtaka Ayobola arudi/Recalled UBA-HQ kutokana kuvuja kwa mabaya yake na kusababishia UBA TZ kukimbiwa na wafanyakazi takribani wote. Habari za huyu jamaa zimeandikwa sana hapa JF kwa nyakati tofauti
Huyu habari zake zilitikisa sana humu!
 
hebu tupatieni links wengine huwa tunakuwa on and off, hasa tukiwa nje kwenye mikutano.
 
Habari za kuaminika kutoka BOT kitengo cha banking supervision zinakiri kupokea barua kutoka Nigeria za kumtaka Ayobola arudi/Recalled UBA-HQ kutokana kuvuja kwa mabaya yake na kusababishia UBA TZ kukimbiwa na wafanyakazi takribani wote. Habari za huyu jamaa zimeandikwa sana hapa JF kwa nyakati tofauti

Nikikonect dots, hapo ndo utajua kiasi gani CCM wanatuumiza,haya mambo yamezungumziwa sana humu jamvini,wakayapuuza.

Je kwa hoja kama hizi ni kweli jf ifungwe kama mama rwakatare anavyotaka iwe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom