Tangu PM ateuliwe nijua angekuwa mtetezi wa wanyonge hasa maslahi ya peasants ambao ndio kundi kubwa hapa nchini pamoja na kubatizwa jina mtoto wa mkulima lakini amekuwa kama kikwazo hana msaada...
Mwishoni mwa mwaka jana (2011) serikali ilipitisha "sekula" maofisini kuwataka wafanyakazi wa serikali wakope pesa kwa riba nafuu. wengi walijaza fomu za kuomba mikopo hiyo lakini mpaka sasa...
Hongera kwa kusimamia uwekwaji wa viashiria vya daraja pale Darajani, Old Bagamoyo Road karibu na MayFair Plaza.
Hili ni moja ya mambo yenye yaliangaziwa na wananchi wa Mikocheni kwenye mkutano...
Ni aibu kubwa kuhitimisha sherehe ya miaka 50 ya uhuru bila kuwa na ugawaji (supply) maji ya uhakika. Mtaniambia Tanganyika ni kubwa sana je hata Jiji letu la Dar es salaam nalo imeshindikana...
Kipaumbele ni huduma za dharura kwanza
Suluhu kujulikana kikao chao na wabunge kesho
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Stephen Ulimboka
Kufuatia mgomo wa madaktari ambao umetikisa...
Lowassa bado anasumbuliwa na jinamizi la kujiuzulu.Anajitahidi kujisafisha.Kuna kila uwezekano kuwa Waziri Mkuu mjiuzulu,Edward Lowassa anahusika moja kwa moja na mgomo wa Madaktari unaoendelea...
Ndugu wadau kuna wizi wa malipo ya luku kati ya tanesco na tigo pesa kwani mimi siku ya rarehe 3/1/2012.nimelipia 20.000/ nikaletewa ujumbe na tanesco unasomeka muhamala wako una shuhulikiwa...
nashindwa kuelewa hapa arusha .kuna kumbi ya muziki kwa jina la active club hipo kata ya sombetini .inapiga muziki kwa sauti kubwa .atulali usiku kuanzia jumanne mpaka jumatatu .ni kilele kwa...
Amani iwe nanyi wapendwa katika Bwana,
Naomba mwenye scanned/soft copy ya Gazeti la MsemaKweli la tarehe 25th December 2011 au link anipatie tafazali.
Natumai nitapata maana JF ni sawa na...
Nimesikiliza redio moja ya kiislam leo , yaani redio imani. masheikh mbali mbali walisikika wakimlaumu mkuu wa Mkoa wa Mtwara Joseph Simbakalia kwa madai ya kwamba licha ya serekali kuwaruhusu...
Inasemekana kuwa kipimo cha uongozi ni pale zinapojitokeza chamgamoto ...Viongozi wetu wa kisiasa wamefanikiwa vipi kiuongozi ktk kushughulikia changamoto zifuatazo
Umeme
Kupanda kwa gharama za...
Gedius Rwiza
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT),kimesema kuwa Jumatatu ijayo kitatoa tamko kuhusu utata unaoendelea katika ulipaji wa madai ya walimu sehemu mbalimbali nchi.
Hatua hiyo ya CWT...
Ndugu zangu,
Kwenye gazeti la Mwananchi jana Jumapili kulikuwa na habari ukurasa wa tano inayosema; Mufuruki: Itikadi za kisiaa zinakwamisha wananchi. ( Mwananchi Jumapili, Februari 5...
Kila budget inaposomwa utasikia kodi ya vinywaji iko juu.sio mbaya labda mnataka tuache unywaji wa kupindukia.ombi letu sisi kama wanywaji na wachangiaji wakubwa wa kodi serikalini ni...
Ndugu zangu,
Ni Jumapili nyingine. Nina neno. Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Kagera , Dk. Methodius Kilaini ameongea na mwandishi wa gazeti la Mwananchi leo Jumapili, Februari 5, 2012...
Ormie is a Pig, in every sense of the word. Pig see cookie. Pig want cookie. But they are out of reach... or are they? See Ormie's attempts to gain the warm sweet taste that is his obsession.
I have been a great fan of movies and tv series for quiet long time now.....I prefer the most of American movies. through that i have been across two different stories which they try to portray...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.