Just in case kwa wasiojua Jumatatu kazi kama kawa Maulid ni Jumapili

Zlatanmasoud

Member
Dec 19, 2010
71
15
Kwa vile JF ni sehemu ya kupashana habari nimeona ni vyema kuwajuulisha wanajamvi wasiojua. Maulid ni kesho Jumatatu kazi kama kawa.
 
Kwa vile JF ni sehemu ya kupashana habari nimeona ni vyema kuwajuulisha wanajamvi wasiojua. Maulid ni kesho Jumatatu kazi kama kawa.

Tunataka tamko la bakwata sio lako wewe lisilo na uhakika, dah itapendeza kweli mwezi usiandame had j3
 
hakuna cha sukukuu j3, sikukuu ni kesho: source tbc
jumatatu kazini, na kwa taarifa yenu mapumziko ya sikukuu hayasogezwi mbele, narudia j3 kazini
 
Tatizo ni kua Masheikh wetu wa BAKWATA wanapelekwa pelekwa tu na Serikali iliyopo.
 
Back
Top Bottom