Ma dk mkilipwa mapendekezo yenu akikisheni mnaoa ama kuolewa wote asibaki single hata mmojamm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ma dk mkilipwa mapendekezo yenu akikisheni mnaoa ama kuolewa wote asibaki single hata mmojamm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Feb 3, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,656
  Trophy Points: 280
  Wapendwa nilikuwa nasikia bbc leo
  nikasikia moja ya mapendekezo ya wah wetu ma dk ni mshahara wa million 3 ..pamoja na marupu rupu inafika mil 6
  ikaulizwa je serikali gani yenye uwezo wa kuwalipa hizi hela...mmoja akajibu pesa zipo ...mmhh kama ni kweli mapendekezo yen wapwa ni haya kazi ipo..maana nimejiuliza mnarusha b777 amam b747 mpaka mlipwe hizo..anyway najua mtakuja na mkurugenzi fulani analipwa hiyo inategemea na sekta yake inaingiza ngapi uwezi simama na kusema mshara wangu ufafane na mkurugenzi wa nssf,ama ppf nazalisha nini??

  So natumaini mtarudi kwenye maelewano na kama ni kiasi hiko naamini mtashuka zaidi kuweka mambo sawa ikishindikana sasa itabidi tuje muhimbili na madaftari yetu ya baiolojia mkononi kuangalia tutasaidiaje ila nisifike huko mungu awape hekima muweze kumalizana mgomo salama

  kama mtatimiziwa basi akikisheni hakuna hata mmoja atakaebaki single jamani maana miezi mitatu tu ningekuwa mie nao..kwa kweli..wengi ukiuliza sababu za kutooa ni pesa za harusi ..na kujikimu
  mkanza kupata nikumbukeni nina vi fremu vyangu vya kuhifadhia hata cement kwa bei nzuri tu naamini atutokaa kwenye mikutano kama serikali kuelewana bei

  bwana awakumbuke kwa kweli mkipata nyie na sie tutazinusa hata kama kwa njia ile ya .........
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Pdidy wewe huna weredi! Huu ni upupu
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,656
  Trophy Points: 280
  Rev nimefanyaje hao mashemeji zangu bana vipi kuwatania muda wowote hata kama ni mmoja ananipigia dadangu lakini harufu za madawa na makoti yao wananukia ni moja..nimeiskia hiibbc wivu sitaki nkataka nijue ni kweli wamepeleka mapendekezo ya mshahara mill3 ama lah..tuwe wa kweli wakati mwingine ndio maana shemeji yangu dk tilalila nasubiri aje kunijibu ni kweli ..
  Hata mod na juhudi zote alipwi million 3-
  kumbuka wakilipwa hii dadangu nae ametoka so naulizia huku naiombea ipite anaweza kutuonyesha dunia ilivyo tukiwa duniani sio wachache tu ndio wanashangilia

  mashemeji mupo????????????????????????????????????????????
   
 4. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  tupo bwana,dada yako mwalimu anatutia moyo tuendelee kugoma. Amesema tusiposimama kidete atasimamisha huduma zoote! We unafurahia mi nitoke mbezi mpaka muhimbili kwa gari yangu,nimuache dada yako na nyege kibao kwa 10000??!!! Hebu tafakari kidogo bhana. Najichoma kila siku na sindano hakuna hata risk allowance! Wapwa zako wanasoma na nguo zenye viraka,we unaona raha?
   
 5. T

  Topical JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wakipata huu mshahara kila demu dar atataka aolewe na DOCTA..lol
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,656
  Trophy Points: 280
  shemeji kwenye allowance hapo sina cha kuongea nimemwambia hata dk wenu feki yule sijui mnamwita waziri wenu wa afya
  unajua hata wale watoto wetu wanaoenda kujilipua usa,uk kwa saa wanapata zaidi ya hiyo sasa na wewe shemeji ulikataa kwenda kipindi kile umemwoa dada leo tunajuta ..anyway nimewaweka maombini mashemeji zangu hata mtutoe kwenye shida za dunia hii kwa kweli na yale mabanda ya kuku yalivyokaa bilakuku naamini mkipata hata ajira za hboy zinaongezeka awajui wakiwaongezea ninyi wengi wananufaika sijui alisome dk ya wapi huyu waziri wenu
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,656
  Trophy Points: 280
  ila kama kweli ,mkizipata hizo mi narudia kua apply muhimibili walai loh
   
 8. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Je hili ni jukwaa halali kwa uzi huu?
  Au ni uzi haram...!
   
Loading...