Serekali imechanganyikiwa.:1

king86c

Senior Member
Feb 4, 2012
127
42
katika hatua ya kushangaza spika na waziri mkuu wamedai posho zimepanda wote wakiliongelea swala hili kwa nyakati tofauti na ofisi ya rais kukanusha kuwa hazijapanda huu ni mwendelezo wa vituko ndani ya serikali hii nani anaongoza nchi
 
Ingekuwa nchi zenye demokrasia ya kweli waziri mkuu, na spika wa bunge wote wangejiuzuru kwa kushushiwa heshma na kutofautiana na rais waziwazi, ila kwa Tz Pinda wala Makinda hawa feel chochote ati heshma ya inashuka, walaaa..AMA KWELI TANZANIA YA KIKWETE NI ZAIDI YA SINEMA, ngoja tusubiri tuone mwisho wake..!
 
Back
Top Bottom