Mamluki mia moja wabainika kupewa viwanja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamluki mia moja wabainika kupewa viwanja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Feb 4, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kumetokea tofauti ya idadi ya waliopata athari za mafuriko na wale wanaotakiwa kupewa viwanja eneo la mabwepande baada ya mafuriko.badala ya 550 idadi imeongezeka kufikia 650.hii inaashiria kuwa na waathirika hewa wapatao 100.mafisadi hawaadhibiwi ndio maana tatizo la ufisadi haliishi.
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu bongo kila kitu deal tu. Hakika nakuambia huo mchakato hauwezi kwenda salama bila kuwa na kashfa.
   
 3. Msikilizaji

  Msikilizaji JF Gold Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bila kuchakachua maafa hayana maana kwa wachache
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kufa kufaana siyo?
   
Loading...