Watanzania na Ulimbukeni Matumizi ya Simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania na Ulimbukeni Matumizi ya Simu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Aug 7, 2011.

1. KakaJambazi

KakaJambazi JF-Expert Member

#1
Aug 7, 2011
Joined: Jun 5, 2009
Messages: 15,030
Likes Received: 3,231
Trophy Points: 280
Hakuna kitu kinachonikera kama kumwona mtanzania mwenzangu anamiliki simu ya laki hata tatu, lakini ni kwa matumizi ya kupiga, kupokea na kutuma msg tu.
Mi nilisikitika kuna siku nilitoka mwanza - Dar kwa basi,,ni mimi peke yangu ndo nilikua nakula JF japo kisimu changu hakizidi 45000/=, (nokia 2330) wengine wamelala na wengine wakipiga simu au kutuma mesiji au kucheza gemu,,bila kujali wanamiliki simu za malaki ya fedha.

Mimi ndo nikawa nawataarifu kuwa bajeti ya wizara ya madini imekataliwa nk.

-Wengine hawajui kuwa kwenye simu kuna saa ( mfano simu inaonyesha mwaka 2010)
-wengine hawajui kuwa kuna calcutator, alam etc.
-wengine hata huduma za pesa hawatumii kabisa, mfano mambo ya simbanking (kuchek bank statement) etc

Hivi ni ushamba au ni nini?
Make kama ishu ni hela naweza kukukatalia sababu huduma za internet kwenye simu ni takriban bure kabisa.

2. Shine

Shine JF-Expert Member

#2
Aug 7, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
Ujue waTZ wengi tunakua vibendera leo kamwona mwenzake anakitu flani nae anataka bila kujua anaeza access vitu zaidi ya sms na kupiga yeye bora aonekane ana sim ya bei kubwa akipita kitaa anaonekana mjanja. Pia ujue tulio wengi hatujui kingereza na wanadhani kwenye net ni kingereza zaidi kwahiyo inaitaji muda kubadilika

3. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#3
Aug 7, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,577
Likes Received: 12,853
Trophy Points: 280
Sijakuelewa sana ila tambua kuwa bado uelewa wa wa tz ni mdogo kwenye teknolojia! Wengne wanajua kupokea na kukata tuu

4. Chimunguru

Chimunguru JF-Expert Member

#4
Aug 7, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 9,843
Likes Received: 270
Trophy Points: 180
Unaona Mtu ana 4wheel tena kalinyanyua juu juu kweli lkn anakaa kindoni kazini posta. ndo mambo yenyewe ya wabongo hayo

5. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#5
Aug 7, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,577
Likes Received: 12,853
Trophy Points: 280
4wheel kwetuu lembeni ndo mwake mwake!

6. N

Ninaweza JF-Expert Member

#6
Aug 7, 2011
Joined: Dec 14, 2010
Messages: 7,186
Likes Received: 1,187
Trophy Points: 280

urewedi?

7. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#7
Aug 7, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,577
Likes Received: 12,853
Trophy Points: 280

NIREWEDI UKISIKIJA?

8. nachid

nachid JF-Expert Member

#8
Aug 7, 2011
Joined: Apr 14, 2011
Messages: 898
Likes Received: 50
Trophy Points: 45

nahic anachomaanisha ni kuwa wengi watz tuna cm za bei ya juu zenye matumizi mengi ila tunashindwa kuzitumia esp internet

9. Baba_Enock

Baba_Enock JF-Expert Member

#9
Aug 7, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 6,804
Likes Received: 176
Trophy Points: 160
Anamiliki VX V8 anaishi kwenye chumba kimoja Sinza Madukani!

10. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#10
Aug 7, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,239
Likes Received: 245
Trophy Points: 160
Kwani tatizo hapo liko wapi?
Jenga heshima barabarani!
Nyumbani kwako nani atapaona?

11. Elia

Elia JF-Expert Member

#11
Aug 7, 2011
Joined: Dec 30, 2009
Messages: 3,442
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Na ku bip.
Halafu simu ikipigwa mpaka wimbo nusu ndio anapokea
mambo ya show show tu.

12. Elia

Elia JF-Expert Member

#12
Aug 7, 2011
Joined: Dec 30, 2009
Messages: 3,442
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Na heshima nyingine baa.

13. sweetlady

sweetlady JF-Expert Member

#13
Aug 7, 2011
Joined: Dec 24, 2010
Messages: 16,982
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
Chumba kimoja?? Hapa hakuna heshima aisee. Heshima ianze kujengwa nyumbani kwanza then ndio barabarani!

14. Lukansola

Lukansola JF-Expert Member

#14
Aug 7, 2011
Joined: Sep 5, 2010
Messages: 5,456
Likes Received: 75
Trophy Points: 145

Na kudipu.

15. Ze burner

Ze burner JF-Expert Member

#15
Aug 7, 2011
Joined: Jan 5, 2011
Messages: 460
Likes Received: 2
Trophy Points: 33
mkuu wengine ni watu wa laptop simu zinazengua ktk speed. then screen ndogo inamiza macho man.

16. Twilumba

Twilumba JF-Expert Member

#16
Aug 7, 2011
Joined: Dec 5, 2010
Messages: 6,148
Likes Received: 878
Trophy Points: 280
Nadhani kwa safari yako hiyo Basi halikupungua abiria 65, Sidhani kama kweli kwa kila mmoja ulikagua simu yake (kwa mujibu wa maelezo yako)
Sidhani kama kama utakuwa uliwasaidia, katika kusoma post yako nilidhani ulifika sehemu na kuwaelekeza hata namna ya kutumia Calculator au hata kuwarekebishia Majira simu hata ya mmoja kama mfano.

Hata hivyo Primarly simu ni kwa ajili ya kupiga na kupokea vingine ni extra kwa muhitaji so hakuna walichopoteza kwa sababu tangu wananunua hilo ndilo lilikuwa lengo

My Take:
Hukuwa msaada kwao zaidi ni hayo masimango na zaidi kwa sababu waliogushwa ni abiria wa nyumbani kanda ya ziwa!

17. m

muhanga JF-Expert Member

#17
Aug 7, 2011
Joined: Apr 16, 2009
Messages: 873
Likes Received: 9
Trophy Points: 35
hivi unadhani kama wewe umejua kutumia intenet kwenye cm basi ndio ujanja? kila mtu ananunua cm kwa matumizi yake binafsi, na siamini km kweli akiwa na nia ya kujifunza yote yaliyomo kwenye cm yake atashindwa, hat mie namiliki cm ambayo ina uwezo wa kufanya mambo mengi sana ikiwemo internet, lkin always ninatembea na laptop na moderm na ninapata internet popote ninapotaka. unless uwe unazungumzia watu flani wa kipato flani (Esp wanafunzi) ambao most of them wanatumia internet za cm kwa ajili ya facebook na chit chat, lakini kwa watu ambao tuna matumizi makubwa ya intenet cm haitusaidii sana. na ukiona mwenzako hajui kitu msaidie kukijua badala ya kumkashifu...

18. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#18
Aug 7, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,239
Likes Received: 245
Trophy Points: 160
Asilimia kubwa ya vijana mjini wana magari ya hatari, lakini wamepanga vinyumba vya ajabu, wengine wamebebwa kwa washkaji!
Gari la ukweli ndio kila kitu, ukiwa na mkoko wa ukweli unaheshimika na kila mtu!

19. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#19
Aug 7, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,239
Likes Received: 245
Trophy Points: 160
Na kitandani pia!

20. b

bitimkongwe JF-Expert Member

#20
Aug 7, 2011
Joined: Oct 21, 2009
Messages: 3,034
Likes Received: 211
Trophy Points: 160
Hata mimi sipendi kabisa kusoma kitu kwenye simu, siyo kwamba sijui lakini ni chaguo langu.

Kaka Jambazi, wacha kudharau wenzako kwa kuwa tu wewe ndiyo umejua kusurf tena ndiyo imekuwa balaa.

Loading...