Waafrika walioko Ukraine wakasirishwa naubaguzi kupitia gazetini

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
[h=3][/h]

Picha ya gazeti ambayo inaonyesha waafrika kama nyani wakigombea mwanamke wa ki-Ukraine

Wakereketwa wa haki za binaadamu nchini Ukraine wametoa wito kwa rais wa taifa hilo, Viktor Yanukovych, kutokomeza ubaguzi wa rangi baada ya gazeti moja katika mji wa Ternopil, kuchapisha mchoro ulioonyesha wanafunzi wa kiume wa asili ya Kiarabu na Kiafrika wakimpigania msichana mwenye asili ya Ukraine.

Katika mchoro huo wanafunzi hao wamechorwa kwa mfano wa nyani.

Gazeti hilo lijulikanalo kama Nowa Ternopil Hazeta, limesema kuwa hivyo ndivyo lilivyoamua kuonyesha jinsi mapigano kati ya wanafunzi wenye asili wa Kiafrika na Kiarabu katika klabu moja ya usiku mjini humo wakati wakinywa pombe.

Kwenye ukurasa wa kwanza kulikuwa na kichwa cha habari kisemacho "damu ya Waafrika na Waarabu ilimwagika wakipigania malaya wetu."

Mchoro huo pia ulionyesha nyani wawili wakimpapasa mwanamke mmoja mzungu, huku ukipachikwa kwenye picha nyingine tofauti ya wanafunzi Waafrika wakinywa pombe.

Gazeti hilo limejitetea likisema kuwa lilitaka kuonyesha tu kuwa mwanamume yeyote mlevi anaonekana kama nyani; maelezo ambayo hayajawaridhisha wanafunzi wa kigeni nchini humo.

Mohammed Sisey, mkuu wa Baraza la Waafrika nchini Ukraine, aliviambia vyombo vya habari nchini humo kuwa ni aibu kwa gazeti kutoka taifa kama hilo kuonyesha wazi ubaguzi wao wa rangi.

Alitoa wito kwa serikali kutoa maelezo rasmi ya kueleza kwa nini gazeti hilo lilifanya dharau hiyo.

Waendesha mashtaka katika mji wa Ternopil wamesema kuwa wanaendelea na kuchunguzi ili kuona kama wanaweza kufungua mashtaka ya uhalifu dhidi ya gazeti hilo.

Video

Posted by Roy Snr. at 00:26
 
Waafrika wataacha kufananishwa na manyani pale watakapojitambua na kuchapa kazi kama binadamu wengine ili wajiletee maendeleo. Wewe huoni ajabu... bara letu limejaa kila raslimali lakini sisi ndio ombaomba wa kwanza? Hebu chukulia nchi ndogo kama Norway ikiwa na population ya watu waziozidi milioni tano na bila raslimali nyingi inatoa msaaada kwa nchi kama Tanzania yenye watu zaidi ya milioni arobaini na raslimali kibao? Kufananishwa kwetu na manyani sio kwa ajili ya weusi wetu ila ni kwa ajili ya mambo yetu ya kinyani nyani. Hii mimi huwa naipenda sana kwani huwa nadhani ndio njia rahisi ya kumfanya mwafrika ajifikirie...
 
ngoja ngabu aje aukosoe huu mtizamo wako hasi.sijui atakuwa wapi saa hii.lol
 
No,njia hii sio sahihi.Najua tunayo mapungufu kibao,lakini bado ni binadamu.It could be done in a more humane way na bado message ikafika.Hata hivyo kufuatana na thread yenyewe,nia ilikuwa ni kumdhalilisha mwafrika,si vinginevyo,and that is not acceptable.
Waafrika wataacha kufananishwa na manyani pale watakapojitambua na kuchapa kazi kama binadamu wengine ili wajiletee maendeleo. Wewe huoni ajabu... bara letu limejaa kila raslimali lakini sisi ndio ombaomba wa kwanza? Hebu chukulia nchi ndogo kama Norway ikiwa na population ya watu waziozidi milioni tano na bila raslimali nyingi inatoa msaaada kwa nchi kama Tanzania yenye watu zaidi ya milioni arobaini na raslimali kibao? Kufananishwa kwetu na manyani sio kwa ajili ya weusi wetu ila ni kwa ajili ya mambo yetu ya kinyani nyani. Hii mimi huwa naipenda sana kwani huwa nadhani ndio njia rahisi ya kumfanya mwafrika ajifikirie...
 
wajinga sana badala wavlie nchini kwao wao sifa 2 mradi wapo ulaya
 
No,njia hii sio sahihi.Najua tunayo mapungufu kibao,lakini bado ni binadamu.It could be done in a more humane way na bado message ikafika.Hata hivyo kufuatana na thread yenyewe,nia ilikuwa ni kumdhalilisha mwafrika,si vinginevyo,and that is not acceptable.
Mbona hata sisi waafrika tunadhauriana? watanzania wanaoishi mijini wanawadharau wanaoishi vijijini, Makabila yanadharau makabila mengine, waliosoma wanawadharau wasiosoma nk nk. Waafrika hatuwezi kupata heshima mbele ya mataifa mengine kama hatutaweza kubadilika na kuendeleza nchi zetu wenyewe. Heshima gani unaitaka kama raisi wako ni ombaomba? Ukishakuwa lofa utalinganishwa na mbwa, takataka, nyani, mende, kunguni nk nk. Tujikomboe wenyewe siyo kusubiria huruma za wengine, haki haipatikani kwa kuhurumiwa bali kwa bidii yako mwenyewe
 
kaka zetu huko Urusi wanawachakachua ile mbaya pamoja na kuwafananisha na Nyani. wanawake wenyewe nasikia wako LOOSE sana na huwa wanawatamani hao wanaowaita manyani wawaoe. huko Ukraine si ile ulaya ya giza tuu! bado washamba sana huko wana mawazo ya Zama za Mawe.
 
Back
Top Bottom