Uchakachuaji wa fedha za walimu wapya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchakachuaji wa fedha za walimu wapya.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malolella, Feb 4, 2012.

 1. M

  Malolella JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimefuatilia mchakato wa ugawaji wa fedha kwa walimu wapya wanaoripoti kwenye halmashauri zao na kupelekwa kwenye vituo husika. Baadhi ya halmashauri wanadai hawajapelekewa fedha za walimu hao ikiwamo wilaya ya Mufindi na Mpwapwa ambazo nimefika na kujionea. Kwa zile wilaya ambazo wamepewa ikiwamo Chamwino na Bahi mkoani Dom wanapewa elfu 35 kwa siku 7. Manispaa wanapewa elfu 65 perday kwa siku 7. Swali: kwanini siku zipunguzwe toka 14 kama sikuzote na kuwa siku 7? Kwanini kuwe na gepu manispaa na halmashauri?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hii inchi ni nomaaa kama una hasira za papo kwa papo bora usimiliki silaha utawapa shida wife na watoto na wazazi wako
   
 3. f

  fimbombaya Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  dah mi nimepewa f35 kwa siku 4 wameniibia kabisa
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Tz nomaaa
   
 5. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hivi chama cha, Walimu kipo??!!!
   
 6. K

  KIDOSHO Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwa mujibu wa taarifa nilizosikia kuna walimu hawakupewa malimbikizo yao lakini wameambiwa wataanza kupewa kuanzia mwezi wa 9 mwaka jana mengine ya nyuma hawatapewa kweli ni haki hiii??
   
 7. K

  KIDOSHO Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Chama cha walimu kipo lakini viongozi wetu wa nchi hii wababe sana jamani, mpaka inafikia mahali wanaboa sana! unatamani kumshika mmoja mmoja umpige...
   
 8. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni mtandao pia ulishawekwa tokea muda mrefu sana wakati wa ajira mpya kuanzia wizarani,hazina mpaka kwenye halmashauri inakuwa ni wakati wa mavuno kwao na kuweka waajiriwa hewa pia. Ni mfumo ulioza kabisa.
   
 9. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tz kila mtu ana tamaa ya fweza, nye!?
   
 10. Magu

  Magu Senior Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
   
 11. n

  nkomelo JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ule waraka wa fedha za kujikimu kwa siku 14 ulishafutwa toka mwaka jana na waziri wa utumishi wa umma. Nawahurumia sana vijana wetu wanaokwenda huko mawilayani, kuna maafisa elimu hata hawajui nasikia Bukombe wanawalipa elf 30 kwa siku badala ya elf35. Ipo siku nayo haipo mbali kila raia wa nchi hii atakula haki yake. Na yule atakae taka kula jasho la mwenziwe atalila kwa tabu
  kubwa.


   
 12. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Ualimu ni wito ebu acheni lawama.
   
 13. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Kipo kinaongozwa na makanjanja walimu wa Shule za primary
   
 14. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Walimu ni kondoo halisi waichukuayo dhambi yote ya CCM na serikali yake.
  Walimu wanateseka sana,mazingira yao kazi ni magumu mno.
  Wanatumiwa na kila kiongozi kuanzia Taifa hadi mjumbe wa nyumba kumi.
  Wanadharauriwa na kupuuzwa, zaidi wanalaumiwa kwamba hawawajibiki vema.
  Walimu ni kondoo wa kafara wasio chagua wa kumfia
  Walimu ni kondoo wa kafara walio tayari kufa ili mradi dhambi ya mkosji ioshwe kwa damu yao.
  Kondoo wa kafara haiitishi mgomo wala haogopi kufa kwa niaba ya mkosaji
   
 15. msweken

  msweken Senior Member

  #15
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Mpwapwa jana wamepewa elfu 30, kwa siku 7.
   
Loading...