Mradi huu umefia wapi

MmasaiHalisi

Senior Member
Jan 15, 2009
192
23
Wana JF kama mnakumbuka ule mradi wa mji wa kisasa maeneo ya makondeko mpaka kibamba ambao tulitangaziwa na waziri wa aridhi wa kipindi hicho John Chiligati mpaka sasa hatuelewi mradi huo umeishia wapi au ni blaa blaa za ccm makazi bora kwa kila mtz?
 
blah blh tu, si uliwasikia juzi na mikakati yao ya kuwapa mafunzo vijana wote wasio na ajira eti wajiandikishe.. Bila hata strategic zozote wanajaribu kutudanganya waziwazi .. Tatizo maneno mengi bila vitendo na maneno yao hayatelekezeki
 
Wewe mgeni wa ccm nini?yani wanabomoa alivyojenga mkoloni na sasa wanafukua madini yetu na kutuachia mashimo
 
Wewe chunguza ahadi za JK na uwezo wa uchumi wetu, ameshindwa kulipa wafanyakazi Tshs 315,000.00 kama TUCTA walivyotaka lakini kaahidi kujenga Overfly jijini D'Salaam, Machinga comlex tano n.k Miradi mingi ya serikali yetu inabaki kuwa ni maajabu ya Mussa na wana Israel.
 
subirini tu msiwe na wasiwasi mambo yatajipa,endeleeni tu kusubiri hii serikali yenye uchungu na raia wake itawasaidia fasta iwezekanavyo
 
subirini tu msiwe na wasiwasi mambo yatajipa,endeleeni tu kusubiri hii serikali yenye uchungu na raia wake itawasaidia fasta iwezekanavyo
hata mimi nilishausikia huu mradi,nikajua sasa tutapata makazi bora kama ilivyokuwa enzi za baba wa taifa,alijenga nyumba magomeni,kariakoo ilala etc,
 
Wana JF kama mnakumbuka ule mradi wa mji wa kisasa maeneo ya makondeko mpaka kibamba ambao tulitangaziwa na waziri wa aridhi wa kipindi hicho John Chiligati mpaka sasa hatuelewi mradi huo umeishia wapi au ni blaa blaa za ccm makazi bora kwa kila mtz?

mradi huu ulikuwa mhimu sana,ungepunguza ujenzi holela
 
Back
Top Bottom