Kama kuna kiongozi mbaya kuliko wote kwenye nchi hii baada ya eva aliemdanganya adam,,mfalme yezebeli basi anaemfwata ni spika anna makinda
kama umemsikia leo huyu mama akikataa hoja ya kujadili...
Wiki mbili zilizopita,waziri mkuu mh Pinda alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mgomo wa madaktari,aliwataka kurudi kazini ifikapo kesho yake vinginevyo wajihesabu kuwa...
Ndugu wanajanvi,
Binafsi sijelewi kwa nini rais wetu hajasema chochote kuhusu mgogoro huu. Mimi nilidhani hili ni jambo kubwa ambalo lilitakiwa kushughulikiwa kwa haraka, lakini inaonekana sivyo...
Katika watu ambao nilikuwa naamini wana msimamo na busara ni mh Pinda lakini katika suala la mgomo wa madakteri huyu jamaa nimegundua ni zaidi ya mjinga na angekuwa na busara angeungana na mwenzie...
Ndugu zangu wana JF,
Ni masaa kadhaa yameshapita baada ya mavuno ya vijana wetu wa kidato cha nne kuwekwa hadharani. Inasikitisha sana, hii ni zaidi ya maafa. Kuna haja ya kulitafakari swala...
Wakuu nimekuwa nikifuatilia Gazeti hili la Raia na nimeendelea kugundua kuwa gazeti hili halina nia nzuri na CHADEMA ninaamini lina makakati wa chini kwa chini wa kuibomoa CHADEMA. Kwa mfano leo...
Tukio la Kwanza:
Hii imetokea leo alfajiri: Dada anawahi kazini saa kumi na mbili maeneo ya Kijitonyama sayansi. Yeye ni Muajiriwa wa kampuni ya simu za mikononi maeneo ya Moroko na Drive Inn...
wakuu nimeikuta huko facebook.kweli watu wameanza kuerevuka.Tuungane kuwasilisha sauti zetu Bungeni kwa Kusaini Petition ya Kusema Tuwasikilize Madaktari leo na Tusingoje Kesho
by Mponda Sibuor on...
Unajua mwenzenu nashindwa kabisa kuielewa serikali yangu iliyo madarakani kwani majanga makubwa yanayoyoonekana machoni pa viongozi kuwa ni madogo yanautesa sana moyo wangu.
Mabomu ya mbagala...
TANESCO kama shirika pekee nchini lililiidhinishwa kutoa huduma ya peke ya Ugavi wa umeme nchini, wamekuwa wanatuibia sisi wananchi kwa njia nyingi sana.
WIZI WA TANESCO>
1. Njia ya kwanza ni...
Nimetoka mhimbili mda si mrefu na nikaonana na daktari bingwa mmoja samahani sitamtaja jina hapa.........na akasema wao ndio wanaolea hicho kilichopo sasa wameamua kugoma ili serikali itimize...
Naandika nikiwa na masikitiko sana kwani serikali ya ccm imeshindwa kazi kabisa.Je kama mgomo wa madaktari sio jambo la dharura je nn kinachizidi maisha na uhai wa watu?nafikiri kwa hili tuache...
kama mtakumbuka kipindi serikali ilipoamua kuwapa nafasi waajiriwa ya kujipatia kipato,ikatoa siku ya jumamosi kuwa siku ya mapumuziko,na pia kuwahamasisha kufungua biashara dogodogo ili...
Ndugu zangu nimeshangazwa sana na ukimya wa raisi kikwete juu ya mgomo wa madaktari na madhara yake kwa raia wote (waliomchagua na wasiomchagua pia). Wananchi wanakufa kwa uzembe wa watendaji wake...
mkuu wa mkoa wa Dar bwana mecky sadick alijaribu kuvaaa viatu vilivyomshinda mizengo Pinda na kujaribu kujadiliana na madaktari na kada nyingine za afya hospitali ya manispaa Temeke kuhusu...
Afisa uhusiano wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili amesema kuwa pamoja na barua waliyoipokea toka kwa madaktari bingwa kwamba na wao wamesitisha utoaji huduma, Hospitali hiyo bado haijafungwa kama...
Kwa muda sasa sijamuona mke wa ****** aliyekuwa akizunguka ovyo na mishangingi ya serikali na kutafuna pesa za wanaokufa mahospitalini kwa kukosa huduma. Swali langu ni je, viti vya maV8 ya...
Nchi yetu inakoelekea ni kubaya! kwa hili la mgomo wa madaktari hii serikali yetu wameshafikiria baada ya hili Je watafuata kina nani maana orodha iko kubwa sana..wanatakiwa kutumia busara sana...
Wimbi la wafanyakazi wa umma kudai nyongeza ya mishahara, posho na marupurupu limechukua sura mpya baada ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kupendekeza viwango vipya vya mishahara wanavyopaswa...