Pinda amefukuza madaktari wangapi hadi sasa?

Shansila

Senior Member
Jan 28, 2012
189
36
Wiki mbili zilizopita,waziri mkuu mh Pinda alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mgomo wa madaktari,aliwataka kurudi kazini ifikapo kesho yake vinginevyo wajihesabu kuwa wamejifukuzisha kazi!Hadi leo taarifa zilizopo ni kuwa madaktari hawajarudi kazini!Kama kuna mwana JF anajua ni madaktari wangapi samefukuzwa kazi kufuatia kauli hiyo ya Pinda aiweke jamvini,isijekuwa mjomba alikuwa anapiga mkwara mbuzi.
 
Ni aibu kwa kiongozi mkubwa hivi kutoa maagizo,then baadae inaonekana ni mkwara mbuzi.
 
amefukuza madaktari wengi, alaf walobakia alimalizia kufukuza waziri Mponda.
Virtually madaktari wote Tanzania wamefukuzwa na Kibogoyo Pinda
 
Alivyokuwa anatangaza alikuwa na hallucinosis, its one of the side effects za abacavir

Anaweza kuwa pia ni illusions, which is perception without external stimulus.... Hao madaktari toka Cuba angekuja kuwalipa nini na kuwaweka waishi wapi? Hiyo visual hallucination kweli ni mbaya sana kuona una madaktari wengi kumbe una deficit
 
Ni aibu kwa kiongozi mkubwa hivi kutoa maagizo,then baadae inaonekana ni mkwara mbuzi.
Alitumia masaburi kupata hayo mawazo. Anatakiwa kujiuzulu ili iwe fundisho kwa waropokaji kwani kwa jamii hadhi yake imeshuka kwani nikiongozi mropokaji na hakuna atakayekuwa anatekeleza maagizo yake kwa kujua hatafanywa lolote
 
huyu ana matatizo huwa ana maamuzi ya ajabu sana.issue ya albino alipobanwa akalia mtu mzima hovyo!!issue ya jairo ni aibu tupu!hana ubavu wa kumuhoji hata mfagizi wa hosp sembuse kufukuza kazi doctors only because hajiamini hata kidogo
 
afu ile ishu ya albino am pretty sure gambe lilimkolea. .Alilia serious ad nilistaajabu, .Nikasema ukiskia mibange au ulevi ndo ndo uu. .
 
Mtoto wa mkulima huyu. Mambo ya migomo ya madaktari atayaweza wapi? Mwulizeni mahindi yanavyolimwa!
 
Back
Top Bottom