Madaktari kugoma tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari kugoma tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Feb 16, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Madaktari waliorudi kazini hivi karibuni wanaandaa mgomo mwingine mkubwa.Mgomo huo uliopachikwa jina la 'Mgomo wa Ukombozi na Hadhi' uunapanga kuishinikiza Serikali kuacha maramoja kutumia fedha za walalahoi-watanzania kwa kuwasafirisha nje ya nchi viongozi kwa ajili ya matibabu hata ya magonjwa yanayotibika nchini.Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali,kitendo hicho ni dharau kwa tasnia nzima ya utabibu nchini Tanzania.Wengine wameongeza kuwa kutokana na viongozi karibu wote kupata matibabu nje ya nchi,hata mgomo wa awali ulipuuzwa kwakuwa viongozi hawaathiriki kwa lolote.Madaktari wanahitaji mabadiliko.Matumizi yasiyo ya lazima pamoja na dharau ziepukwe.Serikali na isikie,isipuuze...
   
 2. faizah

  faizah Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Duh ina maana walalahoi wajiandae kufa tena kwa kukosa matibabu
   
 3. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  serekali lege lege haitatishika!!!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkikutana msisahau kuwaongelea akina Blandina Nyoni ambao tunaambiwa bado wako ofisini wakiendelea kusaini dokomenti!
   
 5. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Mbona ni madaktari hao hao ndio huwa wana-recommend watu wa kupelekwa nje kwa matibabu zaidi?

  Waache usanii bana!
   
 6. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Nitafuatilia suala hili na kubandika uzi hapa soon..
   
 7. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Hayo maneno ya vitisho tu. Wakubwa hamna anayewareffer kutibiwa nje ya nchi c ni wao madokta. Wakatae tu kuwarecommend kwenda nje kwa matibabu au kama hawana bima ya afya wajilipie na issue kwa Muhimbili itaisha.
   
 8. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  sioni tija ya mgomo huu. kinachotakiwa kufanyika hapa ni maandamano basi
   
 9. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Hii ni tanzania mpya iliyojaa neema kwa viongozi, siku hizi mgonjwa anaamua mwenyewe sehemu ya kwenda kutibiwa na dokta gani amtibu bora tu mgonjwa mwenyewe awe na nafasi serikalini
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ukweli mtupu.
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,290
  Likes Received: 19,444
  Trophy Points: 280
  duh!! hapa ni kumwomba Mungu mtu usiumwe hapa aise..
   
 12. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha, wahusika hapa ni marubani, Hao ndo wagome kuwapaisha viongozi,
   
 13. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kaka sasa hayo ni maneno ya kichonga nishi na sivizuri kufanya hivyo coz unaweza kusababishia taifa maafa mengene.
   
 14. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Sioni kama mgomo kwa lengo hili ni sahihi. Kwani ahadi zilizotolewa na PM zimeshatekelezwa na kuwafanya sasa kuliangalia suala limgine? Mbona naona kama usanii fulani?
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Fanya hivyo Mkubwa!
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,064
  Likes Received: 6,518
  Trophy Points: 280
  Tutasikiaga.
   
 17. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
   
 18. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Ikiwa kweli nikutafute?
   
 19. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Unitafute ili iweje?? Nna wasiwasi we umetumwa humu kwa ajenda zako za siri...Get lost!
   
 20. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Usiogope MwaJF..Nataka nikutafute ili unione niliye mzushi au mkweli.Sio mbaya,nitawatafuta wengine...get going!
   
Loading...