Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr.manyaunyau is still alive

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RUTARE, Feb 15, 2012.

 1. R

  RUTARE Senior Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wiki iliyopita kulikuwa na tarifa iliyopostiwa hapa kwenye mtandao kuwa kuwa yule mganga wa kienyeji anayekunywa damu ya paka maarufu kwa jina la Dr. Manyaunyau is no more and there was no more details. TETESI HIZO HAZIKUWA ZA KWELI KWANI NIMEKUTANA NAYE JIONI HII AKIWA MZIMA KABISA BILA JERAHA WALA UDHAIFU WOWOTE KISHA NIKAMWONA ANAENDESHA GARI LAKE AINA YA RAV4.
   
 2. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,076
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kudadeki..amekwepa,bahati yake sana!
   
 3. R

  RUTARE Senior Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani alikuwa ametegwa?
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 11,708
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  These people have got special place in our society to the extent that we monitor even their movements.Mimi siwatambui kabisa na sijui wanaendeleaje na mambo yao ya kizushi
   
 5. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,411
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hivi mbona nilisikia ameokoka ? Ni kweli au ni changa la macho tu ?
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,329
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  labda alikufa akafufuka!!
   
 7. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Concept yenyewe ya 'kuokoka' ni changa la macho tu!
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,425
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  Huyo dogo kumbukeni ni msanii,ndio alipoanza kaole kabla ya kua mganga!! Promo zao hizo kuongeza mauzo na wateja
   
 9. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 481
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  promo hizo
   
 10. F

  Funge JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 585
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Inaweza kuwa sawa na dini ya Jini Kiongozi?
   
Loading...